nikkjems
Member
- Feb 5, 2023
- 15
- 12
VETA MBEYA
Veta mbeya utolewaji wa vyeti short course udereva unachelewa sana unaweza kusubiri mbaka miezi miwili ukienda wanakwambia bado au unakuta vimetoka nusu ukiuliza vingine wanasema huku peleka namba ya Nida ukiwapa namba ya Nida wanasema usubiri tena siku 30 hii sio sawa kabisa kwa mtu mwenye shida ya haraka na cheti
Unamkwamisha huu mfumo mpya wa vyeti kutokea polisi umekuwa kikwazo na kucheleweshwa kwa vyeti