Rufaa vyeti feki/utata hadharani

Wizara ya utumishi imetoa maelekezo kwaa maafisa utumishi kuhakikisha waatumishi wote ambao wamekutwa hawana hatia baada ya kukata rufaa kufuatia kadhia ya vyeti vyenye utata na vyeti feki wanarudishwa kwenye payroll ya mwezi wa saba haraka kabla haijafungwa.Nimejaribu kutafuta hayo majina bila mafanikio.
Naomba mwenye List ya hao wahanga atusaidie tafadhali
Listi hiyo
 
Attachments

  • UTATA+RUFANI.pdf
    1.6 MB · Views: 74
Wizara ya utumishi imetoa maelekezo kwaa maafisa utumishi kuhakikisha waatumishi wote ambao wamekutwa hawana hatia baada ya kukata rufaa kufuatia kadhia ya vyeti vyenye utata na vyeti feki wanarudishwa kwenye payroll ya mwezi wa saba haraka kabla haijafungwa.Nimejaribu kutafuta hayo majina bila mafanikio.
Naomba mwenye List ya hao wahanga atusaidie tafadhali

Mkuu naona imetoka orodha yenye utata, ya kugushi bado haijatoka.... hujasikia fununu yenyewe inaweza kutoka lini?
 
sikuwa hwani mkuu mambo ya umeme,kwa kuwa nilikuwa sijayaona nilidhani zimeshughulikiwa zote kwa pamoja
 
Naona imetoka moja, hujapata fununu hiyo nyingine wanaweza kutoa lini.

Maana wote si inabidi kuwahi payroll hii ya mwezi wa saba mkuu
 
bado sijapata mkuu ikipatikana ntakutafuta ,pole sana rafiki manake kadhia hii inaumiza
 
mkuu hii wizara ya utumishi ni bure kabisa,wamenihalalisha sehemu ambayo sina mshahara ,halmashauri yenye mshahara imeambiwa iniondoe kwenye utumishi ,ngoma bado mbichi kwani afisa utumishi wangu anasema hawezi kunishughulikia kwenye mfumo
Wapewe haki zao zote toka waliposimamishwa hadi sasa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana Mkuu huko Serikalini kumejaa uozo mwanzo mwisho.

Back
Top Bottom