ndalandefu
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 123
- 47
huyu mwandishi wa hili gazeti inaonesha kaandika hisia zake tu
Inawezekana pia
huyu mwandishi wa hili gazeti inaonesha kaandika hisia zake tu
sawa mkuu ila wasiliana na Afisa utumishi wako kwani inaonesha kuna mambo wameelekezwa ya kufanya harakaNakumbuka sana, ila gazeti la TANZANIA DAIMA lilikuwa limeharibu siku yangu yote, ukipata taarifa zaidi tufahamishamishane Mkuu, asante kwa taarifa.
kwa mtu ambae alikuwa kwenye kadhia hii akiwasiliana na afisa utumishi wake atapata majibu ya nini wameelekezwa ,wameambiwa wahakikishe hao watumishi wanarudishwa kwenye payroll kabla hazifungwa mwezi huu.Shida ni kupata hayo majina
kwa maana hiyo kunauwezekano mkubwa majina yasitangazwe, ila watumishi wakarudishwa kimya kimya.




hapa watarudi wote hata wasio na vyeti. Nchi hii dooooonadhani kwa minajili ya kuwahi payroll ya mwezi huu wameona wawashirikishe maafisa utumishi kwanza wakati mambo mengine yanafuata
mkuu mie ameshanithibitishia kasema leo ni sikukuu jumamosi kesho atakuwa ofisini kuyafanyia kazi.bahati mbaya jana nilitoka ofisini mapema na nilipata hii taarifa nikwa mbali nimesafiri mkoa wa jirani,nikalazimaka kumpigia simu usiku ,ndipo aliponithibitishia kuwa ni kweli.Majina wametumiwa kwenye group lao la maafisa utumishiuki confirm na Afisa utumishi wako vizuri, tujuze pia tufanye tucheki na wa kwetu.
Mkuu mimi jana nilimwambia anivumilie pale nitapokuwa napost wa kwanza kabla yake.Najisikia kufanya makosa sana kupost wa mwanzo kabla ya joseverest
mkuu mie ameshanithibitishia kasema leo ni sikukuu jumamosi kesho atakuwa ofisini kuyafanyia kazi
MKUU WEWE HAUMO NJOO TUGANGE TU KIJIJINI KWETUWizara ya utumishi imetoa maelekezo kwaa maafisa utumishi kuhakikisha waatumishi wote ambao wamekutwa hawana hatia baada ya kukata rufaa kufuatia kadhia ya vyeti vyenye utata na vyeti feki wanarudishwa kwenye payroll ya mwezi wa saba haraka kabla haijafungwa.Nimejaribu kutafuta hayo majina bila mafanikio.
Naomba mwenye List ya hao wahanga atusaidie tafadhali
mkuu mie sina shida,tatizo langu halikuwa cheti faki,cheti changu kilionekana kutumika zaidi ya halmashauri moja.Na hii ilkuwa ni uzembe tu wa utumishi kwani hiyo halmashauri nyingine nilikuwa nafanyia kazi kabla sijahamishwa.Sina wasiwasi na hilo mkuu nilikuwa najua ni swala la muda tuMKUU WEWE HAUMO NJOO TUGANGE TU KIJIJINI KWETU
Mgange njaa, ama?MKUU WEWE HAUMO NJOO TUGANGE TU KIJIJINI KWETU
nikweli ndugu
umempigia mkuu wa idara,si kila afisa utumishi ana acess na mifumo mkuu.Mtafute mkuu wa idara utumshi