Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,505
Chemba limezibuka kaeni chonjo wana Igunga msichafuke
hahahahaha hii kali
Chemba limezibuka kaeni chonjo wana Igunga msichafuke
Tu'assume CCM ikishinda rufaa, kafumu atakataa kuwa Mbunge?
Kumbe mbwembwe zote za Mwigulu Igunga hawajakata rufaa, labda wameenda kupima upepo kwanza.
Tu'assume CCM ikishinda rufaa, kafumu atakataa kuwa Mbunge?
CHADEMA wangekazana daraja la Mbutu lisijengwe maana ni zao la rushwa au sivyo?Kwanini CCM hawakumlazimisha Mh.Magufuli afike mahakamani wakati alipohitajika? Pia walimuharibia sana kwa kugawa mahindi ya njaa, kuwatishia wananchi kwa bastola, kuwababmbikizia wananchi kuchoma kibanda cha kuku na karatasi kusalimika, kuahidi uongo daraja la Mbutu, ......................
Wakati aliyekuwa mbunge wa Igunga Bw Dalaly Peter Kafumu amesema hata kata rufaa kupinga hukumu iliyotengua "ushindi" wake wa ubunge, chama chake kupitia kwa Mwigulu Nchema kimesema kitakata rufaa hiyo. Mwigulu amesema hivyo kwenye mikutano ya chama hicho inayoendelea jimboni Igunga wakati Kafumu ametoa tamko hilo alipohojiwa na Star Tv.
Source: Star Tv Habari.
My take: Mambo si shwari ndani ya ccm maana tangu Mwigulu aanze mikutano yake Igunga, Kafumu hajawahi kuonekana.
Ni kweli mkuu, huyu chemba anajihisi GUILTY! pia anaonekana kama nuksi katika chama chao, maana :-Meneja kampeni wa ccm anaji-feel guilty.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
nadhani wanafanya delaying tactic ukizingatia kuwa huenda sumbawanga uchaguzi ukafanyika soon, wasijikute wamepoteza majimbo mawili kwa mpigo bora wadondoshe moja baada ya jingine kwa kujipa muda[/QUOTE
Uchaguzi ukifanyika moja baada ya jingine ndo itakuwa hatari kabisa kwao maana timu ya cdm haitaacha jiwe juu ya jiwe lingine! Kimsingi hawana ubavu wa kuyarejesha hayo majimbo tena! Inawauma sana maana yalikuwa ni yao halafu wayakose yote wananchi hawatawaelewa! Ila nadhani ndo mwisho wao umefika hata kama hawataki watataka tu! Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu?