Huwezi kula na kujisaidia kwenye sahani unayolia kwa wakati mmoja ukategemea utaendelea kula.
Vipi sasa kipaji chake kimepotea?
Kuna kipindi alikuwa anafanya tour kwenye tvs ana redios kupromote nyimbo zake lakini wapi..
Ana kipaji ila nyimbo alikuwa naandikiwa na hao product za THT sasa sijui kukorofishana na mawingu wameacha mwandikia
Boss Ruge nae anapenda kuvuta ngozi zenye nyama ndogo. Vidada viportable ndio vinammaliza Boss R. Hana time na woowooowooo[emoji851][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]