Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
UPDATES=======
Aliyetarajiwa kukabidhiwa uwenyekiti wa kijiji cha Ruaha Ndugu Kisaluni amekimbia mji muda mfupi kabla ya kukabidhiwa ofisi. Duru zinasema ndugu huyo ametahadharishwa na watu wake wa karibu kwamba huenda akachukiwa na kijiji kizima kama atakubali kuongoza kijiji hicho kimabavu, pia ameacha siasa za CCM kabisa. Mkuu wa wilaya ya Kilosa Elias Tarimo na Mkurugenzi wake wameaibika.
Siyo kwamba amekimbilia mjini ili aongoze kijiji kwa king'amuzi?