Ruaha Catholic University- RUCU hatujapata pesa ya field hadi sasa!

Ruaha Catholic University- RUCU hatujapata pesa ya field hadi sasa!

Samir7900000

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
52
Reaction score
26
Vyuo vingi vishapatiwa pesa zao, chuo chetu inasemekana pesa hata haijaja kwa Maelezo ya Loan officer, tunawasiwasi kaiweka fixed account.

Mwenye namba za Bodi ya Mkopo tunaomba tuweze kuwasiliana nao moja kwa moja, tupo likizo vyuo now closed waziri wetu naye ni mtu asiyekuwa upande wetu kwakuwa alishafanya field mwezi wa tatu.

Tunataka tuwasiliane nao direct tujue
 
pesa imefika ila mwalongo anajua anachokifanya
 
Kwani hao wenywe chuo hawana hela?wameanzisha cha nini?ongeeni nao wawakopeshe mkiingiziwa mtalipa,next time achaneni na vyuo uchwara
 
Nafikiri vyuo vingi vya PRIVATE bado havijapata hiyo PESA...
Pia serikali iliangalie hili...
Pia IMANI ya kwamba WANAFUNZI wote wanaosoma VYUO vya PRIVATE wana good financial BACKGROUND sio sahihi..!
 
Back
Top Bottom