RTO Mstaafu anaswa na binti mdogo

Huyo ni mtoto, usimhukumu. Kafanyiwa hivyo bila kuwa na akili ya kujua athari za afanyiwacho na si kuwa "anawajua" wanaume. Binti anaewajua wanaume ni yule alieamua kwa hiari yake mwenyewe.

Ogopa sana binti wa la tano B
 
wabongo tumejaa loho mbaya kushangilia magumu yamwenzako utaskia anyengwe mpaka kufa/afungwe maisha unaona laha ungekuwa ww hakuna binadamu mkamilifu yamemkuta mwenzio kesho kwako hata yy enzi zile yuko kazini alikamata wangi sana wenye makosa mbalimbali kumbe hakujua kama nayeye hajakamilika mola musamehe hakujua alitendalo mpenguvu mja wako atayashinda maana kila jalibu linanjia yakutokea
Okay,ingekuwa ni binti yako ungechukua hatua gan mkuu au ungesema hivyo?...
 
Umenikumbusha habari ya Mloka na mtoto wa jirani yake. Binti alienda kushitaki kwa mama yake kuwa Mloka anamtongoza. Basi mama akajibu kwa hasira We mwana kalaga na hasi, Mloka hanyimwi nenda kampe tu (kwa sauti ya kiluguru)

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Mkoa (RTO) kabla ya kustaafu, Mashaka Mdachi amejikuta akipatwa na fedheha ya mwaka baada ya kunaswa ‘live’ kitandani kwake akiwa na ‘kabinti kadogo’ ka darasa la tano huko Mororgoro.

Mtoto huyo alipoulizwa alisema alikuwa akipewa shilingi 2000 – 5000 kila anapoenda kukutana naye, na wakaweka mtego kumpata.

View attachment 928419View attachment 928420
Muone macho yake ,kawa Mduchu kama piliton
 
Back
Top Bottom