Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Mimi mzima my dear,hope mwanangu na kaka wazima???
nilikua najiskia tu kuropoka..lol
Eti umejisikia...haya bwana....
Sisi wazima tunashukuru.
Nimeandika nikafuta...
Rebecita mzima weye?
Mimi mzima my dear,hope mwanangu na kaka wazima???
nilikua najiskia tu kuropoka..lol
Naunga juhudi hizi mkonoEti umejisikia...haya bwana....
Sisi wazima tunashukuru.
Naunga juhudi hizi mkono
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji8][emoji3][emoji3]Kanyaga twende
Na mimi pia hapo kwa mwanetu nimeandika na kufuta.
Eehh mjomba tumekuacha nje....karibu ndani.
Hongera mamaa kwa huu ujasiri
Mie tayari nishakupenda na kukubali...uzi tuwaachie hawa wanaotongozanaBado wewe nikushushie uzi mrefu
Mie tayari nishakupenda na kukubali...uzi tuwaachie hawa wanaotongozana
Si kuna uzi wa kudumisha mapenzi sasa!
Kuishukuru JF kwa kunikutanisha na wewe.
Lakini si unajua vile nafeel nikianzishiwa uzi?
Sidhani kama uko tayari kunifanya nifeel vile nilivyokwambia kuhusu nyuzi 😊