RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

Yusuph Jr

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
217
Reaction score
49
Taarifa nilizopata zinatanabaisha kuwa,aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza amepandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Intelijensia Nchini.

Ikumbukwe kuwa RPC huyu mwenye jina na Mkumbo, ndiye aliyezuia kuagwa kwa marehemu Alphonce Mawazo pale Mwanza.

Ni wazi kuwa ule utamaduni wa kuwapandisha cheo watendaji wa serikali wanaojaribu kudhibiti upinzani,unaendelea hata kwenye uongozi mpya wa Magufuli.
 
duh ama kwel kumbe alkuwa na ahad ya kupandshwa cheo ndio maana
 
bado tutashuhudia madudu mengi chini ya uongozi huu wa wakurupukaji.
 
Kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi. Kumbuken yule ni mtumishi wa umma
 
Mkumbo na Mangu Ni kabila moja,wote WA Singida
 
Huwezi sema mtu anapopandishwa cheo ni nguvu ya kudhit wapinzani

Labda utakua unasema bila kua na kumbukumbu muhimu za kisiasa bwn Jerry. hebu jikumbushe kidogo kipindi cha yule eliyekua mkuu wa mkoa wa Arusha somebody Ntobi ilikuaje, ndo utajuawakati mwingine KUPANDISHWA CHEO NI NGUVU YA KUDHIBITI MAMBO FLAINI HIVI.
 
Tangu lini mlevi akafanya vitu bila kukurupuka? Konyagi mbaya sana
 
Taarifa nilizopata zinatanabaisha kuwa,aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza amepandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Intelijensia Nchini.

Ikumbukwe kuwa RPC huyu mwenye jina na Mkumbo, ndiye aliyezuia kuagwa kwa marehemu Alphonce Mawazo pale Mwanza.

Ni wazi kuwa ule utamaduni wa kuwapandisha cheo watendaji wa serikali wanaojaribu kudhibiti upinzani,unaendelea hata kwenye uongozi mpya wa Magufuli.

Unasema tetesi halafu unaanza porojo sasa tukuelewe vipi?
UKAWA bado mnaweweseka tu?
Uchaguzi umekwisha sasa ni kazi tu
 
Watu wengne mmejawa na chuki na unafki. Kwan hakuna mazuri aliyofanya huyo kamanda mnaliona la mawazo tu?

Acheni unafki na chuki binafsi dhidi ya maisha ya wenzenu
 
Back
Top Bottom