RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

hata mwangosi aliuawa kwa risasi na ikaundwa tume na leo iundwe tume ili mtueleze kuwa na yeye ameuawa na kitu chenye ncha kali.hayawi hayawi huwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kifo cha RPC wa mwanza ni matokeo ya upuziaji wa mawazo,kumbe hata wao risasi zinawauwa? au nako kulukuwa na vurugu za chadema?
 
Ingekuwa mzee wa porojo kanda maalum dar unogile.barlow hakuwa mnyama sana rip

adobe
Ingawa Siungi mkono Kauli yako,

Nasema: Pumzika kwa amani Kamanda Barlow.Nilikutana naye December 18,2011 siku ya jumapili Geita nikiwa na wakurugenzi wa makampuni niliyokuwa nikifanya kazi.Pamoja na kumlaumu katika mazungumzo ya pembeni kuhusu jinsi jeshi la polisi lilivyokuwa likiingilia masuala ya kisiasa bado aliniambia 'Ben,Wewe ni kijana mdogo na una uwezo mkubwa sana.Nasikia unataka kugombea Ubunge hapa Geita.Kwa nini usigombee Huko Kilimanjaro? Kweli Chadema mmejiandaa ila muache millitant politics'

Katika Mazugumzo yake pamoja na kuonekana kuitetea CCM live lakini bado ukitoa hoja kinzani alikuwa anashawishika kirahisi.Hata Makamanda wengine akiwepo Kamamnda wa Upelelezi wa mkoa wa Mwanza na Kigoma walishangaa kwa jinsi alivyokuwa anakubaliana na hoja kinzani kabisa za upande mwingine

Namtakia safari njema mbele za Haki.Familia yake ipate Faraja kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM
Mkuu kilimasera niwakati wakuweka unafiki wetu mfukoni tuzitendee haki miyo zetu polisi wana uwa watanzania watuambia kauwawa na kitu kizito kinachoruka yaani kihuni huni tu mwisho wa siku wanapandishwa vyeo sasa leo kwao nao wasikilizie maumivu tunayoyapata tunapo fiwa na wapendwa wetu..

Kifo chake nimekipokea kwa mikono miwili
 
Ni tukio baya sana, imeniuma sana kwa kamanda wa mkoa kuuawa kwa risasi tena eti na majambazi.sasa tukio hili linaweza likawa limesababishwa na vitu vifuatavyo:-
1. mapenzi
2.kazi/ulinzi na usalama
3.siasa
kwa sababu zozote zile ni tukio la kulaaniwa sana. polisi fanya kazi yenu tuwajue wauaji.
 
Ili suala liko chini ya DCI hakuna kudiscuss mtaharibu ushahidi na kuwakurupusha watuhumiwa
 
Ni tukio lililotokea majira ya saa saba usiku maeneo ya Kitangiri alipokuwa amempeleka dada yake nyumbani kwake baada ya kutoka kwenye kikao cha harusi

Source: ITV BREAKING NEWS

Mwanza vikao vya harusi hadi saa saba usiku. Isije akawa alikuwa anatembea na mke wa mtu! yetu masikio! Hawa ma RPC huwa na vijana wao (kama alinzi, sijui wapambe) sasa wao siku hiyo hawakuwepo?
 
Mwanza vikao vya harusi hadi saa saba usiku. Isije akawa alikuwa anatembea na mke wa mtu! yetu masikio!


Mimi binafsi sipati :photo::photo::photo: hapa

Kutokana na maelezo ya Mhudumu wa Bar n kwamba kikao kiliisha saa 4 usiku; Lakini ajabu marehemu na huyu Mwanamke alifika nyumbani saa 8 usiku.

bila shaka walipitia sehemu sehemu :fish::fish::hug::hug::hug::mimba::mimba:.

Na ikizingatiwa huyu mwanamke hana mume.:A S embarassed::A S embarassed::shock::shock:



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
sipendi unafiki kabisa yesu yesu nini yeye alitaka kuwauwa wabunge wetu leo kauwawa una ita yesu yesu nini malipo ni hapa hapa duniani alaah! bado Andengenye, Shilogile na Kamhanda

Mkuu msaada wa Mungu ni muhimu , Namwomba Yesu atuponye ili sote tutende mema hata ambao wametenda mabaya wawe na moyo wa dhati wa kuyaacha. Kwa nguvu za binadamu atuwezi
 
Back
Top Bottom