RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

adobe
Ingawa Siungi mkono Kauli yako,

Nasema: Pumzika kwa amani Kamanda Barlow.Nilikutana naye December 18,2011 siku ya jumapili Geita nikiwa na wakurugenzi wa makampuni niliyokuwa nikifanya kazi.Pamoja na kumlaumu katika mazungumzo ya pembeni kuhusu jinsi jeshi la polisi lilivyokuwa likiingilia masuala ya kisiasa bado aliniambia 'Ben,Wewe ni kijana mdogo na una uwezo mkubwa sana.Nasikia unataka kugombea Ubunge hapa Geita.Kwa nini usigombee Huko Kilimanjaro? Kweli Chadema mmejiandaa ila muache millitant politics'

Katika Mazugumzo yake pamoja na kuonekana kuitetea CCM live lakini bado ukitoa hoja kinzani alikuwa anashawishika kirahisi.Hata Makamanda wengine akiwepo Kamamnda wa Upelelezi wa mkoa wa Mwanza na Kigoma walishangaa kwa jinsi alivyokuwa anakubaliana na hoja kinzani kabisa za upande mwingine

Namtakia safari njema mbele za Haki.Familia yake ipate Faraja kipindi hiki kigumu
Upumzike kwa Amani ya Bwana.
 
.... succeeded by Amb. IGP (rtd) Mangu in Mwanza.
A bit of a pattern:
Lt. General Kiwelu
Lt. Gen Imran Kombe
Maj. Gen Meela
.... there may be others before them. Severance, Re appointment et al methodology. As for SACP Libe (RIP commander) whats new?
 
Back
Top Bottom