RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kinyoba, Oct 13, 2012.

 1. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Habari za kuaminika nilizopata hivi punde ni kwamba RPC Wa mkoa Wa mwanza KAMANDA BALO amekufa kwa kupigwa risasi. Habari zaidi zitaendelea!!

  Fuatilia - Breaking News: RPC Mwanza Liberatus Barlow auawa! | Fikra Pevu | Kisima cha busara!
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu dadavua zaidi tunasubiri kwa hamu
   
 3. t

  true JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  kamanda wa polisi mkoani Mwanza Liberatus Barlow ameuwawa kwa kupigwa risasi na majambazi maeneo ya Kitangiri jijini Mwanza.
  Source. RADIO 1 STEREO
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Hii taarifa nimepigiwa simu sasa hivi kutoka Reliable source yangu na sina shaka yoyote na taarifa hii, inasemekana eti ameuwawa na majambazi akitoka katika kikao cha harusi.

  Kama mtakumbumbuka ni juzi tu Kamanda wa uhamiaji wa mkoa wa Mwanza alimiminiwa risasi tano na RCO eti kwa kumzania ni jambazi!! Mwanza kuna tatizo.

  My take: Angekuwa ni Kamuhanda leo ningenunuwa Champagne kusherehekea.
  Nakala kwa Mzee Mwanakijiji.
   
 5. k

  kibaha lukundo Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh ipo kazi mwaka huu
   
 6. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa taarifa zilizotolewa na IGP Mwema usiku huu ni kuwa mkuu wapolisi wa mkoa wa Mwanza amepigwa risasi na majambazi. Tunaomba mlio karibu mtupe taarifa zaidi. source ITV
   
 7. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nchi hii imepofikia panatisha
   
 8. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Malipo Ni hapahapa duniani ,hao ndo wanachelewesha mageuzi
   
 9. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Ni tukio lililotokea majira ya saa saba usiku maeneo ya Kitangiri alipokuwa amempeleka dada yake nyumbani kwake baada ya kutoka kwenye kikao cha harusi

  Source: ITV BREAKING NEWS
   
 10. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  muosha, huoshwa
   
 11. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kamanda wa polisi mkoa wa mwanza Liberatus Ballo ameuawawa na majambazi usiku wa manane wa kuamkia leo huko jijini mwanza wakati akimteresha dada yake wakitokea kwenye kikao cha harusi ya ndugu yao. R.I.P Kamanda Liberatus. Source:ITV.
   
 12. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kamanda wa polisi mkoa wa mwanza Liberatus balow ameuawawa kwa kupigwa risasi usiku wa manane alipokuwa anatokea harusini.

  Source: Radio one na kudhibitishwa na IGP

  My take:
  RIP kamanda ila sasa hivi baada ya kilio kwa raia wasiokuwa na hatia ngoma imehamia kwao.
   
 13. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kumekucha
   
 14. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Intelligensia haikuona hili mapema ?
  kumbe hata usalama wao wenyewe umewashinda sasa
  wakwetu je?
  Ni kwa nini auwawe kuna kitu gana na hawa polisi wetu,juzi walikua wamuue mwenzao
  wa uhamiaji eti kaingia kwenye mtego leo inasemekana majambazi hatujui labda aliingia kwenye mtego?

  Mwenyezi mungu ampumzishe mahali pema peponi..................
   
 15. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Ungefafanua kidogo ili tujiridhishe kama kweli ni majambazi ama ni kisasi- nonspuriousness properly employed?!
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bado natafakari walichofanya waislam wa Mbagala
   
 17. m

  muyombakeneyo Member

  #17
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za subuhi wanaJF

  Nimefungua ITV sasa hivi na kukuta taarifa za msiba wa Mkuu wa Polisi Mkoani Mwanza Ndugu Liberatus Barro alieuwawa na Majambazi wakati akitoka kumsindikiza dada yake baada ya kutoka kwenye harusi ya ndugu yao Kitangili mjini hapo.

  Tukio hilo limetokea kati ya saa 8 na robo usiku wa kuamkia leo.

  Source ITV breaking news.

  Nitawaupdate kadri jinsi nitakavyokuwa napokea taarifa.
   
 18. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kwa mujibu wa breaking news ITV nikwamba kamanda wa polisi mkoani mwanza ameuliwa na majambazi baada yakuvamiwa na majambazi hayo.Sasa najiuliza kama majambazi wanaweza kumvamia kiongozi mkuu wakulinda usalama wetu na mali zetu nakumuua sijui tutajificha nakukimbilia wap!!Nitoe pia rambi rambi zangu za dhati kwa ndugu jamaa na marafiki pamoja na wakazi wote wa jijini Mwanza.Mola ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi.
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wangeanza na Andengenye, Shilogile na huyu Kamhanda..shenzi zao kabisa malipo ni hapa hapa duniani
   
 20. t

  true JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  muosha uoshwa! Juzi nimemuona akiongea na waandishi wa habari kwa mbwembwe kweli? Ni kuhusu kumkosakosa yule afisa uhamiaji kumuua kwa risasi.
  Haya sasa yamemfika na yeye! "waswahili husema mficha ugonjwa kifo umuumbua"
   
Loading...