RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

Hii taarifa nimepigiwa simu sasa hivi kutoka Reliable source yangu na sina shaka yoyote na taarifa hii, inasemekana eti ameuwawa na majambazi akitoka katika kikao cha harusi.

Kama mtakumbumbuka ni juzi tu Kamanda wa uhamiaji wa mkoa wa Mwanza alimiminiwa risasi tano na RCO eti kwa kumzania ni jambazi!! Mwanza kuna tatizo.

My take: Angekuwa ni Kamuhanda leo ningenunuwa Champagne kusherehekea.
Nakala kwa Mzee Mwanakijiji.

kweli kabisa hiyo ni series ya kulipiana kisasi..
 
Mzee Mwanakijiji habari hii kwangu mimi siyo mbaya kabisa na inawezekana mungu kaamua kutulipia kila mara wana uwa wanatesa watu wetu hakuna hatua sutahi zinazochukuliwa sana sana wanapandishwa vyeo tu..
Mungu amesikia sara ili rais aweze kufanya mabadiriko ya utendaji wa polisi
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa mkuu, ni heri tusubiri kusikia ukweli wa mambo ukoje.
ni jambo la kusikitisha sana lakini wengi wetu tumeonya kuwa sasa Jeshi letu la Polisi nchini lina walakini.

Majambazi kwa vyovyote wana mitandao ambayo polisi wanaifahamu na kujua vyanzo vyake. Isije ikawa dili za kulipizana visasi ndio zinajitokeza.
Ni juzi tu kama si jana, tulisikia Mkuu wa Uhamiaji akimiminiwa risasi hukohuko Mwanza, eti kwa kudhaniwa ni jambazi.

Imani yetu kwa Polisi inazidi kuporomoka.

Hata hivyo RIP Kamanda Barlow.
HIyo ni kazi ya ndani kuliko ya nje ya polisi na intelijesia, juzi intelijensia ilikosea na kukaribia kusababisha kifo cha afisa mwezao, jamaa akatoa majibu mepesi, sasa leo imekosea tena ila this time haijaacha mtu

Mmonyoko wa maadili kupelekea mmomonyoko wa kila kitu
 
Afadhali maana edward lowassa alitawala news sasa ni mbagala na mwanza RIP kamanda
 
Kama kweli basi ni good news ingawa hatujui ni risasi ya nani. Daudi Mwangosi huko alipokuwa atakuwa anatasamu. Ingekuwa Kamuhanda nadhani wengi tungefanya sherehe ya kukata na jembe. Rest In Hell (RIH) Ballow.

Kisasi ni cha Muumba wewe mwanadamu usimwingilie kwenye hilo..................sanasana unatafuta kuvuna dhambi........
 
Hivi RCO huwa anaendesha gari mwenyewe?
Inakuwaje waseme majambazi ni kuwa wanawafahamu hao majambazi?
Je dda yake hajakoswa hata na risasi?
Tutaaminije kama ni majambazi wamefanya hilo tukio vp kama ni askari mwenzake au alikuwa anahatarisha usalama wa nchi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

mkuu kuchukua demu wa mtu ni hatari sana na kama unakumbuka ni juzi tu hapa alitaka kumuua yule afisa uhamiaji kwa madai kaingia kwenye mtego sasa inaonekana mshikaji kaamua kummaliza kabisa afu tuone itakuwaje..
 
sipendi unafiki kabisa yesu yesu nini yeye alitaka kuwauwa wabunge wetu leo kauwawa una ita yesu yesu nini malipo ni hapa hapa duniani alaah! bado Andengenye, Shilogile na Kamhanda

NIMEIPENDA HII, ALIWAKINGIA KIFUA WALOWAPIGA AKINA MACHEMLI KT KAMPEN ZA UDIWAN KIRUMBA DA KM MUNGU KAZISKIA DUA ZETU HAWA NI KIKWAZO KWA MAGEUZi, MUNGU WAREKEBISHE AKINA ANDENGENYE, KAMUHANDA PIA SHILOGILE WANATUONEA WAJAWAKO. TUSAIDIE MOLA DHID YA HAWA MARPC BOGUS
 
Hivi kikao cha harusi mpaka saa saba usiku?

Hivi siku hizi RPC inaendesha gari mwenyewe tena saa saba usiku?

Majambazi gani hao wanataka kumwibia RPC?

Majambaji hao wamempora nini?

I smell something.....
 
kama ni kwa sababu ya kuliana wake basi this is more stupid..alitoa majibu mepesi mpaka nikazima tv that day..aliyeua kwa kitu kizito atakufa kwa kitu kizito..what if ndo alikua anamrudisha huyo mke wa mshkaji wa uhamiaji??kikao cha harusi mpaka saa saba usiku mmh....ngoja nipike chai hapa na vitumbua..mbagala vipi tena??
 
Wadau Huyu kamanda alikuwa na gari la serikali muda huo au walikuwa na collora box yao au walikuwa wanatembea kwa mguu?kwa nini wadhani ni majambazi always?poleni sana kwanza.
 
Police wote waliokuwa lindoni jana kwanza mzima wakamatwe kwa uchunguzi ila pia yule kamanda wa uhamiaji alikoswakoswa risasi pia akamatwe maana yaweza kuwa kisasi fulani.
 
Ni majambazi kweli au kuna kisasi nyuma yake? Mwenye kujua zaidi atujuze. RIP kamanda Barlow.
 
Sikuungi mkono kabisa mkuu huwezi kukaa ukafurahia kifo kama tukienda kwa visasi vya mtindo huu kama unavyotaka wewe sidhani kama nchi hii itatawalika kikubwa ni kurekebishana tabia tu na uchaguzi na demokrasia ndio njia pekee ya wananchi kufanya maamuzi tukimuombea kila mtu afe katika nchi hii utajikuta hata wewe kuna watu wanakuombea ufe na ukifa watafurahi kwa hiyo tujitahidi tu kurekebisha hii mifumo ya kiutawala kwa njia za kidemokrasia

MKUU NIMEIPENDA HII, UYU NI DHALIMU KAPATA WABABE KM ANAVYOWAFANYIA UBABE WAPINZANi PIA WANAMAGEUZ, RIL MOLA MLAZE PANAPOSTAILI NA C PEPONI KM CCM WANAVYOOMBA KWA JINS ANAVYOUDHIBIT UPINZANI
 
Back
Top Bottom