zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
ni wewe kabisa umeua bila shaka yoyote.mzimu huu utakutafuna maisha
Dua la kuku
ni wewe kabisa umeua bila shaka yoyote.mzimu huu utakutafuna maisha
Hapa kuna kitu kinafichwa, juzi juzi jamaa alikoswa koswa na risasi yeye akasema waliandaa mtego wa majambazi, aliyekoswa akasema alikuwa anatoka kikao cha harusi na anajua aliyemkosa anatembea na mkewe ambaye wana ugomvi,huyu amsema bahati mbaya, leo nae anamshusha dadake eti anauawa na majambazi, majambazi ya mwanza yanawinda polisi? Tusidanganyane kuna kitu kinafichwa, uwezekano mkubwa ni kuiba wake za watu.
Kama kweli basi ni good news ingawa hatujui ni risasi ya nani. Daudi Mwangosi huko alipokuwa atakuwa anatasamu. Ingekuwa Kamuhanda nadhani wengi tungefanya sherehe ya kukata na jembe. Rest In Hell (RIH) Ballow.
Ingekuwa Kamuhanda ningesherehekea kwa kula Valuer na kuku wa kuchoma pale Chako-ni-Chako kwa saaaaaaana.Kamanda wa polisi mkoa wa mwanza Liberatus balow ameuawawa kwa kupigwa risasi usiku wa manane alipokuwa anatokea harusini.
Source: Radio one na kudhibitishwa na IGP
My take:
RIP kamanda ila sasa hivi baada ya kilio kwa raia wasiokuwa na hatia ngoma imehamia kwao.
Huyo siyo RCO ni RPC.
Sikuungi mkono kabisa mkuu huwezi kukaa ukafurahia kifo kama tukienda kwa visasi vya mtindo huu kama unavyotaka wewe sidhani kama nchi hii itatawalika kikubwa ni kurekebishana tabia tu na uchaguzi na demokrasia ndio njia pekee ya wananchi kufanya maamuzi tukimuombea kila mtu afe katika nchi hii utajikuta hata wewe kuna watu wanakuombea ufe na ukifa watafurahi kwa hiyo tujitahidi tu kurekebisha hii mifumo ya kiutawala kwa njia za kidemokrasia