RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

What a sad day for my country. Inashtusha na kusikitisha. RIP ila hii habari haijawa sawasawa tusubiri kidogo giza liishe na ukungu wa kutokujua utoweke. Kusema wameuawa na "majambazi" ni rahisi sana na haraka. Sijui polisi wamejuaje ni majambazi. Alikuwa ameenda kuvamiwa? Alikuwa nyumbani kwake au huko kwa dadake akimteremsha? Inanikumbusha mauaji ya Prof. Mwaikusa....
 
Huyu ni juzi tu karopoka kuhusu afisa wa uhamiaji waliyetaka kumuua.

Wameshaanza sasa wenyewe kwa wenyewe.

Mie sinunui hilo la MAJAMBAZI. Kuna watu walienda KUKWIBA roho ya mtu hapo.

Nakubaliana na wengi, kumekucha na MUOSHA, HUOSHWA.
 
Ama kweli hali ni mbaya tumrudie mungu nchi hii au ndio mwisho wa dunia??leo ii majambazi wanaua kamanda wa polisi??? Nalilaaani tukio hilo ukweli serikali inabidi ijipange hali si shwari nchi hii matukio ya mauaji yamezidi sijui ni mwisho wa dunia ndio dalili zake?
 
Utadhani uliingia kichwani mwangu...

Hili tukio lingetokea kwa hawa watatu na kuna mwingine wa mara nae anachinja kweli yaani ngetafuta hata kimbuzi nichinje ni burudike na familia yangu' wamejisahau sana..
 
Kamanda wa polisi mkoa wa mwanza Liberatus balow ameuawawa kwa kupigwa risasi usiku wa manane alipokuwa anatokea harusini.source radio one na kudhibitishwa na ijp.
my take:r.i.p kamanda ila sasa hivi baada ya kilio kwa raia wasiokuwa na hatia ngoma imehamia kwao.

Habari hii ya kwako, ina tofauti gani na taarifa ya aliyeanzisha hii thread?
 
Si wewe tu Mkuu CS, bali Watanzania walio wengi wangeona haki imetendeka kwa watenda dhambi na wauaji hawa wa polisi magamba.

hili tukio lingetoke kwa hawa watatu na kuna mwingine wa mara nae anachinja kweli yaani ngetafuta hata kimbuzi nichinje ni burudike na familia yangu' wamejisahau sana..
 
Mkuu kilimasera niwakati wakuweka unafiki wetu mfukoni tuzitendee haki miyo zetu polisi wana uwa watanzania watuambia kauwawa na kitu kizito kinachoruka yaani kihuni huni tu mwisho wa siku wanapandishwa vyeo sasa leo kwao nao wasikilizie maumivu tunayoyapata tunapo fiwa na wapendwa wetu..
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mkuu ila nahisi kabisa mfumo wa utawala tulionao sasa haukidhi matakwa ya wananchi na kila eneo ni failure hv mpaka watu wanafikia hatua ya kuua kamanda wa polisi tutasema usalama upo hapo katika nchi hii yaani kila siku ni vituko tu
Mkuu kilimasera niwakati wakuweka unafiki wetu mfukoni tuzitendee haki miyo zetu polisi wana uwa watanzania watuambia kauwawa na kitu kizito kinachoruka yaani kihuni huni tu mwisho wa siku wanapandishwa vyeo sasa leo kwao nao wasikilizie maumivu tunayoyapata tunapo fiwa na wapendwa wetu..
 
What a sad day for my country. Inashtusha na kusikitisha. RIP ila hii habari haijawa sawasawa tusubiri kidogo giza liishe na ukungu wa kutokujua utoweke. Kusema wameauawa na "majambazi" ni rahisi sana na haraka. Sijui polisi wamejuaje ni majambazi. Alikuwa ameenda kuvamiwa? Alikuwa nyumbani kwake au huko kwa dadake akimteremsha? Inanikumbusha mauaji ya Prof. Mwaikusa....
Kama ulivyonena mkuu, bado tunafuatilia kuupata ukweli wa jambo hii nyeti ndani ya Nchi yetu.
Kama ni majambazi tutajua ni nini shida na alikuwa anatokea wapi usiku huo? Au na yeye ameingia kwenye mtego wao?!

Kalale pema peponi bwana Barlow.......
 
Mungu atuokoe na maauji haya. Yesu njoo uponye taifa hili.

sipendi unafiki kabisa yesu yesu nini yeye alitaka kuwauwa wabunge wetu leo kauwawa una ita yesu yesu nini malipo ni hapa hapa duniani alaah! bado Andengenye, Shilogile na Kamhanda
 
kamanda wa polisi mkoani Mwanza Liberatus Barlow ameuwawa kwa kupigwa risasi na majambazi maeneo ya Kitangiri jijini Mwanza.
Source. RADIO 1 STEREO

Hapa kuna kitu kinafichwa, juzi juzi jamaa alikoswa koswa na risasi yeye akasema waliandaa mtego wa majambazi, aliyekoswa akasema alikuwa anatoka kikao cha harusi na anajua aliyemkosa anatembea na mkewe ambaye wana ugomvi,huyu amsema bahati mbaya, leo nae anamshusha dadake eti anauawa na majambazi, majambazi ya mwanza yanawinda polisi? Tusidanganyane kuna kitu kinafichwa, uwezekano mkubwa ni kuiba wake za watu.
 
Mzee Mwanakijiji habari hii kwangu mimi siyo mbaya kabisa na inawezekana mungu kaamua kutulipia kila mara wana uwa wanatesa watu wetu hakuna hatua sutahi zinazochukuliwa sana sana wanapandishwa vyeo tu..
 
Last edited by a moderator:
Sijui nisikitike au nishangae au nifurahi

Libe alitoa kauli nyepesi just a few hours kabla ya hoja nzito toka kwa Muumba inayohuusiana moja kwa moja na majibu yake mepesi

Mungu akupe malipo stahiki
 
Huu mwanzo mzuri. Serikali ikiambiwa ipambana na ujambazi na ufisadi inajifanya hamnazo. Kikwete aliwahi kuliambia taifa kuwa ana orodha ya majambazi ila hakutaka kuwakamata. Heri waanze kuwaua wanaowatengeneza na kuwalea. Angekuwa Kamuhanda nadhani kila mwenye kupenda haki angefanya sherehe. Polisi wenyewe wamekuwa wakifanya kazi sawa na ujambazi.
 
CHADEMA tunalipiwa na Mungu! Tulimuomba Mungu jaji akapooza na bado wale wote wanao tutendea mabaya tunaomba Mungu atulipie..eti chadema na kwanini siyo afisa uhamiaji walie mfyatulia risasi juzi..leo kwangu ni bata tu
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom