Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
wangeanza na yele aliekuwa kamanda wa arusha, shilogile na huyu Kamhanda..
Utadhani uliingia kichwani mwangu...
Kamanda wa polisi mkoa wa mwanza Liberatus balow ameuawawa kwa kupigwa risasi usiku wa manane alipokuwa anatokea harusini.source radio one na kudhibitishwa na ijp.
my take:r.i.p kamanda ila sasa hivi baada ya kilio kwa raia wasiokuwa na hatia ngoma imehamia kwao.
hili tukio lingetoke kwa hawa watatu na kuna mwingine wa mara nae anachinja kweli yaani ngetafuta hata kimbuzi nichinje ni burudike na familia yangu' wamejisahau sana..
Mkuu kilimasera niwakati wakuweka unafiki wetu mfukoni tuzitendee haki miyo zetu polisi wana uwa watanzania watuambia kauwawa na kitu kizito kinachoruka yaani kihuni huni tu mwisho wa siku wanapandishwa vyeo sasa leo kwao nao wasikilizie maumivu tunayoyapata tunapo fiwa na wapendwa wetu..
Kama ulivyonena mkuu, bado tunafuatilia kuupata ukweli wa jambo hii nyeti ndani ya Nchi yetu.What a sad day for my country. Inashtusha na kusikitisha. RIP ila hii habari haijawa sawasawa tusubiri kidogo giza liishe na ukungu wa kutokujua utoweke. Kusema wameauawa na "majambazi" ni rahisi sana na haraka. Sijui polisi wamejuaje ni majambazi. Alikuwa ameenda kuvamiwa? Alikuwa nyumbani kwake au huko kwa dadake akimteremsha? Inanikumbusha mauaji ya Prof. Mwaikusa....
Mungu atuokoe na maauji haya. Yesu njoo uponye taifa hili.
kamanda wa polisi mkoani Mwanza Liberatus Barlow ameuwawa kwa kupigwa risasi na majambazi maeneo ya Kitangiri jijini Mwanza.
Source. RADIO 1 STEREO