Kutokana na kilichoonekana kuwa, kukikosesha chama kinachosifika kwa uchakachuaji ushindi wa kishindo Shinyanga mjini, imeonekana kuwa RPC na Mkurugenzi hawakuwa tayari kufuata maelekezo ya wakubwa wao katika zoezi la uchakachuaji. hili linapelekea uamuzi wa kuwahamisha na kuleta wapiganaji wengine watakao weka mambo ya chama sawa. tetesi hizi zinaeleza kuwa uhamisho huo utamuhusisha baadae RPC wa Mwanza.
Kwa kweli week moja ya mwisho ya kampeni mpaka siku ya kupiga kura, kuhesabu kura,kutangaza matokeo polisi wa Arusha walionyesha kujua kazi zao hasa kwani hawakuwa watu wakutumia nguvu bila sababu nampongeza Basilio kwa kazi hiyo...

Ukitaka sifa ya kweli(legacy) simamia kwenye ukweli hata kama utakugharimu . Basilio- dunia ya wapenda haki iko pamoja nawe na iko siku Mungu atakunyooshea zaidi kwa sasa tuliza boli
Hiyo inanikumbusha OCD mmoja alikuwa anaitwa mzee RINGO mwaka 1995 wakati wa mchakachaka wa Mrema, wasukuma wa shinyanga walimpa kura nyingi sana mrema baada ya kampeni RPC akahamishwa na OCD aka futwa kazi