UDOM: Watumishi wengine 50 wahamishwa

Josephirej09

New Member
Mar 31, 2019
1
1
*UDOM KIMENUKA TENA*

Miezi michache baada ya watumishi 11 Kuhamishwa. Juzi Jumatano ya tarehe 27. 03. 2019 masaa 24 tangu uongozi mpya uingie ofisini, uhamisho mwingine wa watumishi wapatao hamsini (50) wamehamishwa vituo vya kazi (Staff reallocation) ndani ya Chuo. Kwetu sisi wanajumuiya wa UDOM tatizo sio staff reallocation kwa kuwa jambo hili tunaamini ni jema na salama kwa maendeleo ya Chuo chetu. Maswali ya kujiuliza:-

1.Je? Uhamisho huu umefanywa na uongozi mpya? Kama kweli wamepata muda gani kumjadili kila mtimishi maana ni masaa 24 tu tangu waingie ndo zoezi hilo limefanywa na barua hizo za uhamisho kutoka zilizosainiwa na wao.

2. Je? Uhamisho huu uliandaliwa na aliyekuwa ana kaimu ofisi? ambaye kimsingi hata yeye hawajui watumishi kiasi cha kuweza kufanya reallocation.

3. Au aliyekuwa ana kaimu ofisi alimuagiza Afisa tawala mkuu ambaye pia ndo Kaimu Mkurugenzi Rasilimali watu kwa sasa afanye zoezi hilo na hatimae kuandaa barua zikingoja saini za viongozi wapya?

4. Ama umefanywa na Mwenyekiti wa Baraza kwa kushirikiana na wadau wake wapendwa (THTU & UDOMASA) ama ni maagizo kutoka juu?

Ni vyema ikafahamika kuwa UDOM hamna siri na imefahamika Uhamisho huu umefanywa na aliyekuwa ana kaimu ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango, Fedha na Utawala ambaye yeye kwa kuwa hawajui watumishi na kwa kuwa hitaji la kuhamisha watumishi ni ajenda ya Chama cha wafanyakazi (THTU) siku zote. Kiongozi huyo aliona ni vyema alitekeleze kabla ya uongozi mpya haujaingia ili uongozi huo ufanye zoezi la kusaini barua pekee. Hata hivyo; kwa kuwa kiongozi huyo hakuwa na ujanja wa kuwatambua watumishi zoezi hili alishusha kwa Afisa tawala mkuu ili alifanye ambapo ni sahihi kabisa kwa mujibu wa majukumu yake. Cha kushangaza tofauti na matarajio ya Naibu Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo kuwa zoezi hili lingefanywa na Afisa tawala mkuu kama alivyomuagiza kinyume chake zoezi lote la Uhamisho limefanywa Ghorofa ya kwanza (first floor) kwa siri kubwa likiwashirikisha wadau wakuu watatu (03). Nao ni THTU, UDOMASA, Kaka na Dada.

VIASHARA VYA HISIA HIZO

Kwanini wana UDOM wanasema hivyo?

1. Hizi siku za karibuni pamekuwa na ukaribu mkubwa sana kati ya THTHU, UDOMASA, Kaka na Dada. Imeonekana zaidi ya mara kadhaa wadau tajwa wakionekana kutoka ofisini kwa dada na vicheko vikubwa jambo ambalo linapelekea hisia ya kusema "kazi imekwisha."

Ni ukweli usiopingika kuwa Dada amekuwa miaka yote anachuki kubwa na Afisa tawala mkuu aliyekuwa katika ofisi yake. Hivyo, ingeshangaza sanaa dada kufanya jambo hili kisha limuache afisa tawala mkuu huyo salama. Kwa kuthibitisha hilo kwa kweli dada kafanya kazi yake vyema. Kamng'oa mkuu wake ili abaki yeye kuwa mkuu. Kwa sisi wenye akili hiki ni kiashiria kikubwa cha kwamba zoezi hili lina mikono ya dada wengine wamekula ripoti tuu.

TAHADHARI KWA UONGOZI MPYA

1.Ni vyema mkatumia muda mwingi kutafakari kabala ya kufanya maamuzi yeyote kwa kuwa tunaamini hili la uhamisho sio la kwenu na wala hamjapata muda wa kulihoji.

2. Hivi sasa Chuo kinaongozwa na THTU & UDOMASA jambo ambalo sisi waajumuiya wa chuo tunahisi si salama kwa mustakabali wa chuo.

3. Tangu sekeseke la uhamisho wa watumishi 11 pamekuwa na mpasuko mkubwa kwa wanajumuiya wa UDOM. Hivyo ni vyema mkatumia busara na tafakuri kubwa kabla ya kufanya jambo lolote ambalo huenda likachochea mpasuko uliopo sasa.

MWISHO

Tunawatakia kazi njema, Aidha ni vyema tukakumbuka tunaongoza jamii ya wasomi, maelezo mepesi mepesi ya hoja nzito hatudhani kama hapa chuo kikuu ni mahali pake.

"Umoja wetu ndio nguvu yetu" Tafadhali mtuunganishe.
 
Unajiuliza maswali ambayo una majibu yake chini ya hiyo aya, sijajua hizi taarifa ni za kiintelijensia au ni habari ya wazi, maana umetumia mafumbo mafumbo, vivupisho visivyodadavuliwa na misimu ya huko Udom kwenu. Ama unahisi sisi sote tunapatikana huko ofisi z UDOM?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
... watumishi wapatao hamsini (50) wamehamishwa vituo vya kazi (Staff reallocation) ndani ya Chuo.
Kama ni ndani ya chuo, hilo jambo ni la kawaida sana katika taasisi za umma. Waulize watumishi wa Hospitali ya Mwananyamala walivyotawanywa nje ya taasisi yao, sasa wewe unazungumzia ndani!
 
Nyie jamaa wa UDOM walalamishi na lia lia sana.

Kama vipi kuepuka hizo kero acheni kazi njooni huku mitaani mujiajiri.

Huku ugumu wa maisha na uchungu wako wa maendeleo ndio unakufanya ujipagie mwenyewe kituo cha kazi.

Tumechoka drama zenu.
 
Mwandishi wa habari hii ni mpika majungu mkubwa!
Suala la reshuffle UDOM siyo geni hapa UDOM, ni karibu kila mwaka mmoja huwa kunafanyika reshuffle! Shida ni kwamba kuna watu mlikuwa mmeshajiaminisha kwamba hamuwezi kuhamishwa kutoka central administration kwenda knye colleges!.
Ushauri wangu kwako, acha majungu, fanya kazi.
 
*UDOM KIMENUKA TENA*

Miezi michache baada ya watumishi 11 Kuhamishwa. Juzi Jumatano ya tarehe 27. 03. 2019 masaa 24 tangu uongozi mpya uingie ofisini, uhamisho mwingine wa watumishi wapatao hamsini (50) wamehamishwa vituo vya kazi (Staff reallocation) ndani ya Chuo. Kwetu sisi wanajumuiya wa UDOM tatizo sio staff reallocation kwa kuwa jambo hili tunaamini ni jema na salama kwa maendeleo ya Chuo chetu. Maswali ya kujiuliza:-

1.Je? Uhamisho huu umefanywa na uongozi mpya? Kama kweli wamepata muda gani kumjadili kila mtimishi maana ni masaa 24 tu tangu waingie ndo zoezi hilo limefanywa na barua hizo za uhamisho kutoka zilizosainiwa na wao.

2. Je? Uhamisho huu uliandaliwa na aliyekuwa ana kaimu ofisi? ambaye kimsingi hata yeye hawajui watumishi kiasi cha kuweza kufanya reallocation.

3. Au aliyekuwa ana kaimu ofisi alimuagiza Afisa tawala mkuu ambaye pia ndo Kaimu Mkurugenzi Rasilimali watu kwa sasa afanye zoezi hilo na hatimae kuandaa barua zikingoja saini za viongozi wapya?

4. Ama umefanywa na Mwenyekiti wa Baraza kwa kushirikiana na wadau wake wapendwa (THTU & UDOMASA) ama ni maagizo kutoka juu?

Ni vyema ikafahamika kuwa UDOM hamna siri na imefahamika Uhamisho huu umefanywa na aliyekuwa ana kaimu ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango, Fedha na Utawala ambaye yeye kwa kuwa hawajui watumishi na kwa kuwa hitaji la kuhamisha watumishi ni ajenda ya Chama cha wafanyakazi (THTU) siku zote. Kiongozi huyo aliona ni vyema alitekeleze kabla ya uongozi mpya haujaingia ili uongozi huo ufanye zoezi la kusaini barua pekee. Hata hivyo; kwa kuwa kiongozi huyo hakuwa na ujanja wa kuwatambua watumishi zoezi hili alishusha kwa Afisa tawala mkuu ili alifanye ambapo ni sahihi kabisa kwa mujibu wa majukumu yake. Cha kushangaza tofauti na matarajio ya Naibu Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo kuwa zoezi hili lingefanywa na Afisa tawala mkuu kama alivyomuagiza kinyume chake zoezi lote la Uhamisho limefanywa Ghorofa ya kwanza (first floor) kwa siri kubwa likiwashirikisha wadau wakuu watatu (03). Nao ni THTU, UDOMASA, Kaka na Dada.

VIASHARA VYA HISIA HIZO

Kwanini wana UDOM wanasema hivyo?

1. Hizi siku za karibuni pamekuwa na ukaribu mkubwa sana kati ya THTHU, UDOMASA, Kaka na Dada. Imeonekana zaidi ya mara kadhaa wadau tajwa wakionekana kutoka ofisini kwa dada na vicheko vikubwa jambo ambalo linapelekea hisia ya kusema "kazi imekwisha."

Ni ukweli usiopingika kuwa Dada amekuwa miaka yote anachuki kubwa na Afisa tawala mkuu aliyekuwa katika ofisi yake. Hivyo, ingeshangaza sanaa dada kufanya jambo hili kisha limuache afisa tawala mkuu huyo salama. Kwa kuthibitisha hilo kwa kweli dada kafanya kazi yake vyema. Kamng'oa mkuu wake ili abaki yeye kuwa mkuu. Kwa sisi wenye akili hiki ni kiashiria kikubwa cha kwamba zoezi hili lina mikono ya dada wengine wamekula ripoti tuu.

TAHADHARI KWA UONGOZI MPYA

1.Ni vyema mkatumia muda mwingi kutafakari kabala ya kufanya maamuzi yeyote kwa kuwa tunaamini hili la uhamisho sio la kwenu na wala hamjapata muda wa kulihoji.

2. Hivi sasa Chuo kinaongozwa na THTU & UDOMASA jambo ambalo sisi waajumuiya wa chuo tunahisi si salama kwa mustakabali wa chuo.

3. Tangu sekeseke la uhamisho wa watumishi 11 pamekuwa na mpasuko mkubwa kwa wanajumuiya wa UDOM. Hivyo ni vyema mkatumia busara na tafakuri kubwa kabla ya kufanya jambo lolote ambalo huenda likachochea mpasuko uliopo sasa.

MWISHO

Tunawatakia kazi njema, Aidha ni vyema tukakumbuka tunaongoza jamii ya wasomi, maelezo mepesi mepesi ya hoja nzito hatudhani kama hapa chuo kikuu ni mahali pake.

"Umoja wetu ndio nguvu yetu" Tafadhali mtuunganishe.
Hivi hii habar haina uhusiano na tarehe ya leo?
 
Katika Utumishi wa Umma kwa Sie tulio huduma kwa zaid ya Miaka 30 tunafahamu Kuwa Moja ya silaha Za kuadhibu/ kuonea ni uhamisho but ground Za kulalamika Na kueleweka unapohamishwa Ni ndogo Sana kwa Kuwa uhamisho upo Ki utaratibu Na Mwenye Maamuzi ya Mwisho kuhamisha Ni Mamlaka zenye dhamana!

Mie niliwahi kuhamishwa kutoka eneo Moja kwenda kwingine kwa Chuki Lakin Miaka 7 baadae nikaja Kuwa Senior Officer wa alienihamisha, kwny Utumish wa Umma usikubali Mtu Au kikundi Cha watu kiku frustrate kwa Kuwa none is Controler Au Dominater wa Mfumo wa Muda wote Bali hutokea kwa Muda tu ku dominate Au ku control
 
*UDOM KIMENUKA TENA*

Miezi michache baada ya watumishi 11 Kuhamishwa. Juzi Jumatano ya tarehe 27. 03. 2019 masaa 24 tangu uongozi mpya uingie ofisini, uhamisho mwingine wa watumishi wapatao hamsini (50) wamehamishwa vituo vya kazi (Staff reallocation) ndani ya Chuo. Kwetu sisi wanajumuiya wa UDOM tatizo sio staff reallocation kwa kuwa jambo hili tunaamini ni jema na salama kwa maendeleo ya Chuo chetu. Maswali ya kujiuliza:-

1.Je? Uhamisho huu umefanywa na uongozi mpya? Kama kweli wamepata muda gani kumjadili kila mtimishi maana ni masaa 24 tu tangu waingie ndo zoezi hilo limefanywa na barua hizo za uhamisho kutoka zilizosainiwa na wao.

2. Je? Uhamisho huu uliandaliwa na aliyekuwa ana kaimu ofisi? ambaye kimsingi hata yeye hawajui watumishi kiasi cha kuweza kufanya reallocation.

3. Au aliyekuwa ana kaimu ofisi alimuagiza Afisa tawala mkuu ambaye pia ndo Kaimu Mkurugenzi Rasilimali watu kwa sasa afanye zoezi hilo na hatimae kuandaa barua zikingoja saini za viongozi wapya?

4. Ama umefanywa na Mwenyekiti wa Baraza kwa kushirikiana na wadau wake wapendwa (THTU & UDOMASA) ama ni maagizo kutoka juu?

Ni vyema ikafahamika kuwa UDOM hamna siri na imefahamika Uhamisho huu umefanywa na aliyekuwa ana kaimu ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango, Fedha na Utawala ambaye yeye kwa kuwa hawajui watumishi na kwa kuwa hitaji la kuhamisha watumishi ni ajenda ya Chama cha wafanyakazi (THTU) siku zote. Kiongozi huyo aliona ni vyema alitekeleze kabla ya uongozi mpya haujaingia ili uongozi huo ufanye zoezi la kusaini barua pekee. Hata hivyo; kwa kuwa kiongozi huyo hakuwa na ujanja wa kuwatambua watumishi zoezi hili alishusha kwa Afisa tawala mkuu ili alifanye ambapo ni sahihi kabisa kwa mujibu wa majukumu yake. Cha kushangaza tofauti na matarajio ya Naibu Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo kuwa zoezi hili lingefanywa na Afisa tawala mkuu kama alivyomuagiza kinyume chake zoezi lote la Uhamisho limefanywa Ghorofa ya kwanza (first floor) kwa siri kubwa likiwashirikisha wadau wakuu watatu (03). Nao ni THTU, UDOMASA, Kaka na Dada.

VIASHARA VYA HISIA HIZO

Kwanini wana UDOM wanasema hivyo?

1. Hizi siku za karibuni pamekuwa na ukaribu mkubwa sana kati ya THTHU, UDOMASA, Kaka na Dada. Imeonekana zaidi ya mara kadhaa wadau tajwa wakionekana kutoka ofisini kwa dada na vicheko vikubwa jambo ambalo linapelekea hisia ya kusema "kazi imekwisha."

Ni ukweli usiopingika kuwa Dada amekuwa miaka yote anachuki kubwa na Afisa tawala mkuu aliyekuwa katika ofisi yake. Hivyo, ingeshangaza sanaa dada kufanya jambo hili kisha limuache afisa tawala mkuu huyo salama. Kwa kuthibitisha hilo kwa kweli dada kafanya kazi yake vyema. Kamng'oa mkuu wake ili abaki yeye kuwa mkuu. Kwa sisi wenye akili hiki ni kiashiria kikubwa cha kwamba zoezi hili lina mikono ya dada wengine wamekula ripoti tuu.

TAHADHARI KWA UONGOZI MPYA

1.Ni vyema mkatumia muda mwingi kutafakari kabala ya kufanya maamuzi yeyote kwa kuwa tunaamini hili la uhamisho sio la kwenu na wala hamjapata muda wa kulihoji.

2. Hivi sasa Chuo kinaongozwa na THTU & UDOMASA jambo ambalo sisi waajumuiya wa chuo tunahisi si salama kwa mustakabali wa chuo.

3. Tangu sekeseke la uhamisho wa watumishi 11 pamekuwa na mpasuko mkubwa kwa wanajumuiya wa UDOM. Hivyo ni vyema mkatumia busara na tafakuri kubwa kabla ya kufanya jambo lolote ambalo huenda likachochea mpasuko uliopo sasa.

MWISHO

Tunawatakia kazi njema, Aidha ni vyema tukakumbuka tunaongoza jamii ya wasomi, maelezo mepesi mepesi ya hoja nzito hatudhani kama hapa chuo kikuu ni mahali pake.

"Umoja wetu ndio nguvu yetu" Tafadhali mtuunganishe.
Kama wanataaluma wenyewe ndio wambeya hivyo,hakuna kitu hapo chuoni,
Nchi IPO na standard gauge SGR,ATCL,miradi ya umeme,kutokomeza ufisadi,nyie mnalalamikia kuhamishwa kituo!mkifukuzwa kazi,itakuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee utakuwa umehamishiwa kitivo cha ulinzi maana si kulialia huku.
Nyie ndo mlikuwa wapiga dili?

Kwa elimu yako kwa nini usiende kujiari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom