RPC Mbeya, Kamanda Msangi azuia maandamano ya kumpokea Lowassa

Nampongeza kamanda Msangi.Misafara ya kisiasa ya maandamano barabarani inazuia shughuli za kuchumi.Jana mabasi toka Moshi,Arusha na Nairobi kwenda Dar es SALAAM yamechelewa kufika sababu ya msafara wa maandamano wa LOWASA na maboda boda yake ya kukodi yaliyokuwa yametanda barabara zima.Mabasi yalikuwa hayawezi ku-overtake YANAZOMEWA na vibaka wa BODA BODA waliokuwa msafara wa Lowasa.

Kamanda msangi ana hoja barabara ziachwe wazi zifanye shughuli za kiuchumi watu waende huko kwenye mikutano yao ya kisiasa waache watu waendelee na shughuli za kiuchumi.Anayependa kwenda mkutanoni aende na anayependa kuendelea na shughuli zake kama za daladala nk aendelee na kazi zake bila bughudha kutoka kwa waandamaji kwenye barabara.

Ombi langu ni kuwa wanaporudi pia kwenye hiyo mikutano wasirudi na maandamano tena ya kuleta siasa mabarabarani na kuanza kupora watu na maduka.Mihemuko yao ya kisiasa iishie huko huko mikutanoni kwao wasianze kurudi kimakundi na michaka michaka na kufanya vurugu na kupuliza mahoni ya bajaji nk.Wamalize mikutano yao kwa amani watawanyike kwa amani waende kama ni boda boda warudi sehemu zao za kazi waendelee na maisha yao.

Hongera kamanda Msangi

Kwa hiyo hii ripoti iliyotuambia kwamba ukuaji wa uchumi umeshuka kwa 2% wametaja na maandamano kama sababu mojawapo nini!?
 
mi nilisema tokea mwanzo kabisa kwama mkofuli hakuwa na tatizo lolote hadi kamaliza kujitambulisha hakuna polic alijigusa ila upinzani wameanza cku moja tu jamani taayari wamesha toa amri huo usalama unetokea wapi wakati wa makofuli huo usalama haukuitahika mi na sema kama kunakitu ambacho ccm wanacho kifanya haki ya mungu itawagarim sana
 
Na mkutano ukiisha pangeni mstari mtoke mmoja mmoja bila shamra shamra yoyote msijemkaambiwa mnaandamana.
 
Tusishangae polisi wakizuia mikutano na maandamano wakati wa kampeni. Tanzania ni yetu sote,polisi tekelezeni wajibu wenu kisheria,acheni kujipendekeza kuwafurahisha CCM

msangi bado ni kijana sana , awe mwangalifu , ana kimeo kimoja kwenye sakata la ulimboka asiongeze kingine .
 
Wacha uongo.Yule ni kiongozi wa nchi.Anatanguliwa na pikipiki moja.Sio boda boda 300 AU kama lowasa.Msafara wake unaende spidi ya kuua mtu KIASI KUWA DAKIKA TU NJIA INAKUWA NJEUPE.Hauendi taratibu kama wa Lowasa ambao kutoka biguruni tu hadi posta mpya kufika unatumia masaa matano mazima!!!!.

Kwani mtu ukiwa na pikipiki yako unazuiwa kwenda nayo kwenye mkutano??? CCM iko ukingoni kabisa mwa kuanguka na hizi zote ni hofu tu! huo msafara wa masaa mawili kati ya masaa ya mwaka mzima umeleta athari kiasi gani? Dar ambapo kuna pilika nyingi mbona hayo wanayoyaita maandamano yalifanyika na wanaendelea leo kesho na siku nyingine kujizalishia mali?
 
Msafara wa masaa mawili huwezi kulinganisha kamwe na mamilioni ya masaa ambayo wakazi wa Dar wanapoteza kwenye foleni. CCM bure kabisa.
 
Polisi
hivi mnadhani vijana wanafanya makosa?, msihatarishe cheo kwa kujipendekeza
 
Ila na sisi waTz tumewaendekeza sana hawa policccm kiasi wanajiona wako juu ya sheria.
 
hv na yale ya mgombea wa ccm alivyokuwa ameenda kujitambulishwa yalizuiwa? je hakukuwa na haya ya kufanya hizo shughuli nyingine za kiuchumi ziendelee???

mtanzania tafakari chukua hatua mwezi oktoba
 
Nampongeza kamanda Msangi.Misafara ya kisiasa ya maandamano barabarani inazuia shughuli za kuchumi.Jana mabasi toka Moshi,Arusha na Nairobi kwenda Dar es SALAAM yamechelewa kufika sababu ya msafara wa maandamano wa LOWASA na maboda boda yake ya kukodi yaliyokuwa yametanda barabara zima.Mabasi yalikuwa hayawezi ku-overtake YANAZOMEWA na vibaka wa BODA BODA waliokuwa msafara wa Lowasa.

Kamanda msangi ana hoja barabara ziachwe wazi zifanye shughuli za kiuchumi watu waende huko kwenye mikutano yao ya kisiasa waache watu waendelee na shughuli za kiuchumi.Anayependa kwenda mkutanoni aende na anayependa kuendelea na shughuli zake kama za daladala nk aendelee na kazi zake bila bughudha kutoka kwa waandamaji kwenye barabara.

Ombi langu ni kuwa wanaporudi pia kwenye hiyo mikutano wasirudi na maandamano tena ya kuleta siasa mabarabarani na kuanza kupora watu na maduka.Mihemuko yao ya kisiasa iishie huko huko mikutanoni kwao wasianze kurudi kimakundi na michaka michaka na kufanya vurugu na kupuliza mahoni ya bajaji nk.Wamalize mikutano yao kwa amani watawanyike kwa amani waende kama ni boda boda warudi sehemu zao za kazi waendelee na maisha yao.

Hongera kamanda Msangi

Hahahaha imenibidi nicheke tu manake CCM mmechanganyikiwa daaaaa na bado mtatembea utupu
 
CCM mnayofanyia wapinzani na nyinyi mtakuja kufanyiwa. Msije kulalamika tu, maana hamna ambacho hakina mwisho

Haya unayosema ndiyo yanayoendelea Malawi! Chama tawala kilijiwekea sheria za kukilinda ili kisitoke madarakani. Wapinzani walipiga sana kelele lakini hawakusikilizwa! Muda ukifika pamoja na kukandamizwa sana lakini wakafaulu kukiondoa chama tawala madarakani! Kwa sasa kilichokuwa chama tawala kumekucha cha upinzani! Sheria zile zile walizokuwa wanazitumia kukamdamiza upinzani sasa ndio zinazowakandamiza wao! Wakazilalamikia bila aibu halafu wakaambiwa kama ziliwafaa zamani, zitaendelea kuwafafanulia hata sasa!
 
Nampongeza kamanda Msangi.Misafara ya kisiasa ya maandamano barabarani inazuia shughuli za kuchumi.Jana mabasi toka Moshi,Arusha na Nairobi kwenda Dar es SALAAM yamechelewa kufika sababu ya msafara wa maandamano wa LOWASA na maboda boda yake ya kukodi yaliyokuwa yametanda barabara zima.Mabasi yalikuwa hayawezi ku-overtake YANAZOMEWA na vibaka wa BODA BODA waliokuwa msafara wa Lowasa.

Kamanda msangi ana hoja barabara ziachwe wazi zifanye shughuli za kiuchumi watu waende huko kwenye mikutano yao ya kisiasa waache watu waendelee na shughuli za kiuchumi.Anayependa kwenda mkutanoni aende na anayependa kuendelea na shughuli zake kama za daladala nk aendelee na kazi zake bila bughudha kutoka kwa waandamaji kwenye barabara.

Ombi langu ni kuwa wanaporudi pia kwenye hiyo mikutano wasirudi na maandamano tena ya kuleta siasa mabarabarani na kuanza kupora watu na maduka.Mihemuko yao ya kisiasa iishie huko huko mikutanoni kwao wasianze kurudi kimakundi na michaka michaka na kufanya vurugu na kupuliza mahoni ya bajaji nk.Wamalize mikutano yao kwa amani watawanyike kwa amani waende kama ni boda boda warudi sehemu zao za kazi waendelee na maisha ya

Hongera kamanda Msangi

Suala la kudhibiti maandamano kwa sasa ni kuonesha picha halisi ya uwezo wa vyombo vyetu vya utendaji ulivyo mdogo. Dhana ya kuandamana inaonekana haijulikani na hasa katika siasa.
Mwaka huu kuanzia kampeni zitakavyoanza ni maandamano kwa kwenda mbele kuanzia misafara ya kwenda na kurudi katika mikutano hiyo.

Labda wapige marufuku na kampeni za hadhara wagombea watumie luninga wasifanye mikutano hadharani.
 
Ahmrd Msangi ni mtoto wa X-polisi, baba yake alistaafu akiwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani; wako wengi wa aina ya Ahmed, watoto wa Ma- RPC na Ma- Kamishna wa polisi. Wanalipa fadhila kwa CCM kwa kuingizwa kwenye system. Watimize wajibu wao kwa mujibu wa kanuni za jeshi la polisi na si kwa matakwa ya CCM. Wakumbuke, wanalipwa mishahara kwa kodi za watanzania wote, si kwa kodi za wana-CCM tu; heshimuni watanzania.
 
Pia ni mtuhumiwa wa kumteka na kumtesa Dr.Ulimboka.
 
Back
Top Bottom