RPC Dodoma kadhalilisha Jeshi la Polisi

RPC Dodoma kadhalilisha Jeshi la Polisi

mwmbeki

Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
91
Reaction score
124
Wasaalam wanabodi,
Moja kwa moja kwenye mada:

Nilipokuwa ADVANCE MALANGALI SEKONDARY (Mafinga Iringa) nilipata kusoma vitabu tofaut tofauti vya historia, baadh vikizungumzia sifa za majeshi.
Gervas zombwe alibainisha sifa za askari police kama ifuatavyo

1. Igronance,( ujinga) askari Polisi haitaji kuwa na elimu kubwa,kwani kufanya hivyo ni kuwafanya wajitambue hivyo kuhoji mambo muhimu.

2. Psycophance(yes yes man) yaan polisi kafundishwa kusema ndio tu kutoka kwa mtu anayemzid cheo.

3, Much energy as opposed to brain( nguvu kubwa kuliko akili....
Zombwe aliandika mi nafupisha tu)

Nini kimenituma kuandika haya?

Nimeyadhitisha katika awamu hii ya utawala, nimeamini kuwa hizo hoja ni za kweli kabsa.

Watu hawa wameonyesha ujinga wa hali ya juu,hasa viongozi wa juu wa watu hawa, Ni viazi,mbumbumbumbumbuuuuuu kabisa mfano
kiongozi wa mkoa wa Polisi (R.P.C)anawakamata watu anaita vyombo vya habari na kuwahukumu.

Yeye ni mahakama? si wote wanaokamatw na jeshi la polisi wana makosa..kesi inaenda mahakamani kusikilizwa na hakimu
hii imenipia taswira na kilichoandikwa na zombwe ni kwel huu ni ujuha wa hali ya juu.

Mimi ni bora nipige debe kuliko kuwa na kazi ya kuwindana na binadamu wenzako kwa manufaa yasiyo ya kwako..
 
Mkuu kuandika shule na hiyo ID,,,, inakutambulisha mno kumbuka ulikuwa maarufu enzi zile,,,,, ila nafurahi umenikumbusha kitambo bonge la shule yenye mafanikio chini ya Mr Seme. Ameingilia na anaingilia sana kazi zenu huyo ni kweli utaratibu wake haufai
 
Wasaalam wanabodi,
Moja kwa moja kwenye mada:

Nilipokuwa ADVANCE MALANGALI SEKONDARY (Mafinga Iringa) nilipata kusoma vitabu tofaut tofauti vya historia, baadh vikizungumzia sifa za majeshi.
Gervas zombwe alibainisha sifa za askari police kama ifuatavyo

1. Igronance,( ujinga) askari Polisi haitaji kuwa na elimu kubwa,kwani kufanya hivyo ni kuwafanya wajitambue hivyo kuhoji mambo muhimu.

2. Psycophance(yes yes man) yaan polisi kafundishwa kusema ndio tu kutoka kwa mtu anayemzid cheo.

3, Much energy as opposed to brain( nguvu kubwa kuliko akili....
Zombwe aliandika mi nafupisha tu)

Nini kimenituma kuandika haya?

Nimeyadhitisha katika awamu hii ya utawala, nimeamini kuwa hizo hoja ni za kweli kabsa.

Watu hawa wameonyesha ujinga wa hali ya juu,hasa viongozi wa juu wa watu hawa, Ni viazi,mbumbumbumbumbuuuuuu kabisa mfano
kiongozi wa mkoa wa Polisi (R.P.C)anawakamata watu anaita vyombo vya habari na kuwahukumu.

Yeye ni mahakama? si wote wanaokamatw na jeshi la polisi wana makosa..kesi inaenda mahakamani kusikilizwa na hakimu
hii imenipia taswira na kilichoandikwa na zombwe ni kwel huu ni ujuha wa hali ya juu.

Mimi ni bora nipige debe kuliko kuwa na kazi ya kuwindana na binadamu wenzako kwa manufaa yasiyo ya kwako..
Ndugu yangu nadhani unatakiwa kurudi darasani maana unaonyesha ulivyo uwezo wako mdogo wa kuandika na hata kujieleza kwako(Your too low) aibu kabisa .Hakuna ulichoandika kuhusu huo udhalilishaji ulioupa hiyo heading.
 
asee nawewe hiyo (your too low) ulimaanisha nn,unahisi ww ni mtu sahihi kbsa kumkosoa huyo jamaa,labda tumia kiswahili unaweza kueleweka
 
Duh sasa huo ni ushauri mnaotoa au mnatukana, jenga hoja yako vizuri kama unaona kunatatizo kiutendaji yumkini atasoma naye atatathimini.
 
Back
Top Bottom