Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
Anabwabwaja!
acha uongo! hamfikii hata meja wa jeshiYuko sahihi Assistant Commissioner ni sawa na Canal kwa TPDF rank ya juu yake kwa TPDF ni Brigadea General na Senior Assistant Commissioner kwa wizara ya mambo ya ndani, sijui kuhusu salary scale over.
Kuua aue yeye wengine wawajibikeje??Haitusaidii kitu na huo ulinganishaji vyeo, mmeua wajibikeni. Nyie mko juu ya sheria hadi mchukue vitu minor kama hivyo ndo mvifanye mjadala wa kitaifa? Wakati mwingine JW mnakosa utu na kudhani maisha ya mtu ni ya kuchezea kiasi hicho? Mwenzenu kaua wajibikeni.
Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.Katika tukio la kifo lililotokea majuzi kule Arusha likimuhusisha mwanamke(marehemu)na askari wa JWTZ. Wakati RPC wa Arusha anaongea na waandishi wa habari alitoa kauli ambayo alisema kuwa ktk vyeo vya JWTZ anayemzidi kwa cheo ni Brigedia Jenerali kwenda juu!! Najiuliza ulinganifu huu amezingatia vigezo/muongozo upi?! RPC yeye ni Assistant Commissioner of Police(ACP). Wajuzi wa haya mambo ya vyeo naomba ufafanuzi plz.
Sawa mkuuKiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.
Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.
Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.
Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.
Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
Mwanajeshi kuua ni suala la mtu binafsi halihusiani na kulichafua jeshi zima kama unavyotaka kuaminisha watu.Haitusaidii kitu na huo ulinganishaji vyeo, mmeua wajibikeni. Nyie mko juu ya sheria hadi mchukue vitu minor kama hivyo ndo mvifanye mjadala wa kitaifa? Wakati mwingine JW mnakosa utu na kudhani maisha ya mtu ni ya kuchezea kiasi hicho? Mwenzenu kaua wajibikeni.
Bora ungekaa kimya kuliko, kujiona unajua, Hujui itifaki ya vyombo vya ulinzi vinapokutana pamoja.Wote ni waongo, majukumu ya Jw kwa wananchi ni tofauti na majukumu ya polisi kwa wananchi, hata vyeo vyao havina uhusiano wowote, isipokuwa ni mvutano wa kibabe tu unaotokana na vyeo vya Kamisheni/apishwa na rais
Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.
Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.
Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.
Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.
Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
Soma hapo juu [emoji115]Bora ungekaa kimya kuliko, kujiona unajua, Hujui itifaki ya vyombo vya ulinzi vinapokutana pamoja.
Well said.Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.