Roy Sarungi ninani hasa?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Hivi wakulungwa huyu Roy Sarungi ninani hasa? Mbona anaongea utopolo Sana na anaonyesha u much know?

Nakiri simfahamu Sana huyu jamaa ila nilimuona kwenye judgement za wasanii kwenye bongo star search na kina salama.
 
Hivi wakulungwa huyu Roy Sarungi ninani hasa? Mbona anaongea utopolo Sana na anaonyesha u much know? Nakiri simfahamu Sana huyu jamaa ila nilimuona kwenye judgement za wasanii kwenye bongo star search na kina salama.
Kuna siku alisema ati kuna umuhimu wa kubadilisha katiba ili Magufuli awe Rais wa milele maana hajawahi kutokea binadamu mwenye akili duniani kama magufuli ndio maana hata maveberu wanatuonea wivu
 
Huyo jamaa nilijua ni swala la muda tu wanajamii wa jf watamletea uzi uwe chanya ama hasi, ha ha! Jamaa analala na kuamkia tbc na anaongea kwa kujimwambafy bila kusahau ibada na sifa zilizopitiliza kwa serikali ya mwenye awamu yake.
 
Badala ya kumsifia mi naona Kama kamtukana Rais

Alipaswa ashughulikiwe haraka sana

Hata Kama Ni sifa hizo zimevuka mpaka

Hata ningekuwa Mimi nisingekubali sifa za Sina hizo Ni za kinafiki ningechana hapo hapo kwamba simteui ng'oo hata akiniita mimi pacha wa Yesu
 
Hivi wakulungwa huyu Roy Sarungi ninani hasa? Mbona anaongea utopolo Sana na anaonyesha u much know?

Nakiri simfahamu Sana huyu jamaa ila nilimuona kwenye judgement za wasanii kwenye bongo star search na kina salama.
Wivu unakusumbua
Jamaa yuko vizuri saana
 
Huyo jamaa nilijua ni swala la muda tu wanajamii wa jf watamletea uzi uwe chanya ama hasi, ha ha! Jamaa analala na kuamkia tbc na anaongea kwa kujimwambafy bila kusahau ibada na sifa zilizopitiliza kwa serikali ya mwenye awamu yake.
Yule bwana (Roy Sarungi) ni anajua mambo kweli

Tatizo la member baadhi wa JF ni wivu, na chuki (ambazo origin yake ni mlengo wa kisiasa)

Na bahati nzuri jembe yule kutoka mkoa wa kanda maalumu (mkoa wa Mara) haogopi, yeye anatwanga tuu

Ukweli atausema, penye kupongeza atapongeza, haogopi na hajawahi ogopa
 
Utakuwa

Utakuwa wewe ndio roy Sarungi mwenyewe
 
Utakuwa

Utakuwa wewe ndio roy Sarungi mwenyewe
Huo ndio ukweli, mtu yule ni anajua mambo (iwe siasa, mambo ya kimataifa, iwe ni lugha ya Kingereza mnayo ihusudu hadi kuwananga viongozi wanaotumia lugha ya Kiswahili, iwe ni semi za watu mashuhuri na wasomi wa kale)

Na mwisho jembe lile haliogopi kufanya anachopenda na kuamini....Ana roho ngumu mithili ya akina Makonda & JPM 'utatukana wee lakini hawarudi nyuma wala kwenda pembeni ya mstari'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom