Routes za daladala zilizoleta mapinduzi DSM

Routes za daladala zilizoleta mapinduzi DSM

WANGEANZISHA ROUT YA KIGAMBONI-GOBA
KUPITIA
NYERERE BRIDGE-MANDELA ROAD-TAZARA-NYERERE ROAD-INAINGIA MAJUMBA SITA-KINYEREZI-MBEZI MWISHO-GOBA
Hahahahaha nauli itakuwa kama unaenda mkoa vile
 
Ruti nyingi huanzishwa na wenye magari wakiona faida wanaongeza magari ukiona ruti imefutika jua haina faida.

Kawe Segerea imaua Simu2000 Segerea gari zimebaki chache
 
Makumbusho. -. Mabwepande
Makumbusho. -. Mbweni
G/mboto. - Mbagala, hii route watu wake wana tabu si kitoto.
 
@Kidukulilo una maoni gani kuhusu wachangiaji wa hii mada🤣🤣
 
hapa dar sijui gari za wapi hwa hazijazi.

lakini huwa najiuliza kwanini route ya masaki/kariakoo gari zake zimechoka namna ile.watoto wa kinondoni/msasani/masaki mlishirikishwa katika hili swala au hujuma tu???
hili ni kweli aisee, gari za kutoka k/koo kwenda masaki nyingi zimechoka mno.
 
Ruti nyingi huanzishwa na wenye magari wakiona faida wanaongeza magari ukiona ruti imefutika jua haina faida.

Kawe Segerea imaua Simu2000 Segerea gari zimebaki chache
Kwa hyo mtu akinunua tu eicher lake anajiandikia tu Bunju-Buza?
 
Route ya Kisemvule~Gerezani inajaza sio masihara. Ina vituo lukuki bandari zote, mivinjeni, uhasibu, mtongani, mbagala yote( Zakhiem Maji matitu, rangi tatu) , kongowe, vikindu na kisemvule kwenyewe. Sema sasa zile gari kupanda kama ndo unatoka k/koo jioni sharti uwe na msuli hasa .
 
WAMEUA RUTI YA MBEZI TO K.KOO JAPO ILIKUWEPO MIEZI MICHACHE YA MWANZONI TANGU WALIPOLETA MWENDOKASI.

1234
 
Route ya Kisemvule~Gerezani inajaza sio masihara. Ina vituo lukuki bandari zote, mivinjeni, uhasibu, mtongani, mbagala (Zakhiem , rangi tatu) , kongowe, vikindu na kisemvule kwenyewe. Sema sasa zile gari kupanda kama ndo unatoka k/koo jioni sharti uwe na msuli hasa .
 
@Kidukulilo una maoni gani kuhusu wachangiaji wa hii mada
Atakwambia,,,

"Hivi kuna watanzania bado wanapanda daladala?ooh c'mon guys...kabisa mtu unapanda daladala na unajiona uko sawa. Tafuteni pesa jamani muendeshe magari. Alafu utakuta mtu anaendesha Toyota nae anasema ana gari. Are you serious? Nunueni magari watanzania muache kupanda Toyota na daladala."
 
For commuter buses transportation within the cities in the world, DSM City is the HELL.
Sijawahi kuona jiji lingine lenye mfumo mbaya WA usafirishaji Watu ndani miji mikubwa kwenye nchi zote nilizowahi kuzuru hapa duniani kama ilivyo ktk jiji LA DSM. Commuter transport within DSM is worse of the worse. Wala hata sina hamu nayo!
Toa maoni yako basi.
Unaponda na unashindwa kuweka mawazo yako baada ya kuona uko duniani wanafanyaje mmh?
 
Atakwambia,,,

"Hivi kuna watanzania bado wanapanda daladala?ooh c'mon guys...kabisa mtu unapanda daladala na unajiona uko sawa. Tafuteni pesa jamani muendeshe magari. Alafu utakuta mtu anaendesha Toyota nae anasema ana gari. Are you serious? Nunueni magari watanzania muache kupanda Toyota na daladala."
Sawa tumesha jua wewe na ukoo wako mzima mna miliki magari.
 
Back
Top Bottom