Routes za daladala zilizoleta mapinduzi DSM

Routes za daladala zilizoleta mapinduzi DSM

Route yamoto ulioisahau ni MBEZI-MUHIMBILI ambayo sasa haipo lakini ilikuwa noma, nakumbuka ilikuwa mpaka update seat ni mshike mshike wa maana kama si kuibiwa basi kuingia kwa bus lakini uwe na ngeo kidogo au uchafuke kana kwamba haukufua nguo....
 
Tuna komenti wapi kwani, sisi wa Ushirombo..!!??
Na huku arusha ruti sio rafiki sijui kwa sababu ya mji ulivyo kama unatumia vifodi unajikuta kuna mahali bodaboda inakuhusu kama sio reggae!
 
Route yamoto ulioisahau ni MBEZI-MUHIMBILI ambayo sasa haipo lakini ilikuwa noma, nakumbuka ilikuwa mpaka update seat ni mshike mshike wa maana kama si kuibiwa basi kuingia kwa bus lakini uwe na ngeo kidogo au uchafuke kana kwamba haukufua nguo....
Bado zimebaki nyengine ambazo zilikuwa sumbufu angalau sikuhizi naona kidogo afadhali
MBAGALA - UBUNGO
MBAGALA - G/MBOTO
MBAGALA - GEREZANI VIA KILWA ROAD
 
Na huku arusha ruti sio rafiki sijui kwa sababu ya mji ulivyo kama unatumia vifodi unajikuta kuna mahali bodaboda inakuhusu kama sio reggae!
Mkuu, naambiwa sifa kubwa ya chugga ni kwamba karibu kila mtu anamiliki chuma
 
we unaona wamejikwaa wapi mkuu, maana mifumo hii inawekwa na binadamu na inakuwa na mapungufu, sema chochote tuweza kujenga pamoja.

Mpaka kufikia sasa, janga LA usafirishaji Watu ndani ya jiji LA DSM limekuwa ni "sikio Ka kufa", siyo rahisi kurekebishika tena, at the moment, the disaster has reached at the point of no return.

Kiini cha janga hili kubwa zaidi LA usafirishaji Watu ndani ya jiji LA DSM, ni kukosekana KWA Mipangomiji. Tanzania is suffering from the serious problems of a " Death of the Town planning"
 
Nikusahishe kidogo hiyo ya kisemvule hazipiti majimatitu wala mbande,bali zinanyoosha hadi kongowe na kuendeleza mkowa wa pwani vikindu na huko kisemvule yote ni pwani sio dar.yanayopita majimatitu hadi mbande ni ya mb/kisewe.na huyo mwaibula ulieumuulizia ninani? Huyo ndiye alieanzisha ruti ndefu na kuleta utaratibu wa kila ruti kuwa narangi zake na ziandikwe mbele,kama sijakosea ktk kumbukumbu zangu kabla yahuyo jamaa daladala zote zilikuwa zinaishia kariakoo tu! Yaani ukitoka mwenge unataka kwenda labda mbagala au temeke inabidi upande gari m1 kisha ukaunge lingine kariakoo. Ndipo huyo jamaa akaja na mfumo waruti hizo ndefu mwanzoni mwamiaka 20000 ruti zakwanza zaaina hiyo nikawe hadi m/mtongani.nauli 150 ilikuwa hivyo. Wakuu
 
Bado kinyerez to mbezi ni best route kwangu haijawahi nichosha Mimi mkazi wa segerea😊
 
Gerezani to kiponza via kilwa road.

Gerezani to mbande kisewe kilwa road.

Muhimbili to kisewe/magenge via kilwa road.

Stesheni to mmbande kisewe/magengeni.

Gerezani to mmbande magengeni via chan'gombe road

Gerezani to mmbande lufu via kilwa road

mbagala tunajichagulia tu sikuhizi hakuna shida Kama ya zamani
 
Gerezani to kiponza via kilwa road.
Gerezani to mbande kisewe kilwa road.
Muhimbili to kisewe/magenge via kilwa road.
Stesheni to mmbande kisewe/magengeni.
Gerezani to mmbande magengeni via chan'gombe road
mbagala tunajichagulia tu sikuhizi hakuna shida Kama ya zamani
NAKUONA MKAZI WA MBANDE UNAVYOJIMWAYA MWAYA HAPA.....ILA HIZO ZA MUHIMBILI SIJUI NI ZIPO CHACHE AU NINI,MAANA KUNA DAY NILIKAA ALMOST ONE HOUR KUSUBIRI HAZIJI IKABIDI NIKWEE ZA GEREZANI
 
NAKUONA MKAZI WA MBANDE UNAVYOJIMWAYA MWAYA HAPA.....ILA HIZO ZA MUHIMBILI SIJUI NI ZIPO CHACHE AU NINI,MAANA KUNA DAY NILIKAA ALMOST ONE HOUR KUSUBIRI HAZIJI IKABIDI NIKWEE ZA GEREZANI
Hazipo nyingi Ni chache Sana ila ukizibambia Basi akhaa!! Unajimwaya tu
 
Hazipo nyingi Ni chache Sana ila ukizibambia Basi akhaa!! Unajimwaya tu
YAH NI KWELI NA NILIKUWA NA HARAKA HIYO SIKU IKABIDI NICHUKUE LA GEREZANI,NILIVYOSHUKA NIKATEMBEA MDOGO MDOGO HADI MUHIMBILI....WAYAONGEZE AISEE WAPUNGUZE HIYO ADHA YA MTU KUSUBIRI MUDA MREFU
 
YAH NI KWELI NA NILIKUWA NA HARAKA HIYO SIKU IKABIDI NICHUKUE LA GEREZANI,NILIVYOSHUKA NIKATEMBEA MDOGO MDOGO HADI MUHIMBILI....WAYAONGEZE AISEE WAPUNGUZE HIYO ADHA YA MTU KUSUBIRI MUDA MREFU
Yes wakifanya ivyo watakua wamesaidia sana
 
For commuter buses transportation within the cities in the world, DSM City is the HELL.
Sijawahi kuona jiji lingine lenye mfumo mbaya WA usafirishaji Watu ndani miji mikubwa kwenye nchi zote nilizowahi kuzuru hapa duniani kama ilivyo ktk jiji LA DSM. Commuter transport within DSM is worse of the worse. Wala hata sina hamu nayo!
Mkuu hujazunguka majiji ya Africa, nenda Lagos, Kampala au Nairobi. Lagos na Kampala kuna vipanya, Kampala boda boda zinazingua, foleni zisizo eleweka. Nairobi ata stand ni mtihani, nauli inabadilika badilika. Kuna wazungu walikuja Dar kitu walicho sifia ni daladala. Walisema zinafika pembe nyingi za mji na kwa bei nafuu sana. Changamoto zipo ila siwezi nikasema hamna zuri. Mtu unatoka Makumbusho mpaka Mloganzila kwa chini ya buku! 800 kama sijakosea.
 
Hili jiji ratio ya wasafiri na usafiri ipo mbali mbali sana
Yaani kuna uhitaji mkubwa wa usafiri hasa barabara za pembezoni na zile za matoleo!
So far hizo route hapo zipo vizuri
Pamoja na mloganzira to Makumbusho
Ila wameharibu kuondoa gari za Buguruni Mbezi
Kwenye hili la route ya Buguruni to Mbezi kuna kitu kimoja unapaswa uelewe, kuna sehem hapa Dar ni transit stations yaan hizo sehem zipo within a route ikiwemo Buguruni

Chanzo cha kuondolewa route ya Mbezi- Buguruni ni uwepo wa routes za Temeke-Mbezi so far hizi daladala ziko nyingi kwahiyo sasa abiria wote wa Buguruni wanamezwa na hizi daladala

Route nyingine iliyoondolewa ni ile ya Muhimbili-Buguruni, chanzo pia cha kuondolewa route hii ni uwepo wa routes za daladala mbalimbali kwenda Muhimbili kupitia Buguruni kutokea Tabata Chang'ombe, Segerea, Kg/Sokoni, K/Viwandani, Kinyerezi and the likes
 
Mbezi to Sinza jamani kuna ulazima gani wa kupanda gari mbili? Kwann gari zisiunge tu nowadays barabara ya mawasiliano kutokea Sinza Madukani ni lami ya kiwango tu kwanini kusiwepo na route ya Mbezi to sinza via Mawasiliano road!??

Mwendokasi apande nani?
 
Back
Top Bottom