Roulette and Makedha: French for begginers

Bonjour, je m'apple DC


Note:

RR, please,

Kuna jamaa wameanza uchakachuzi hadi flavour zinapotea taratibu!!
 
Too bad sijawahi kuipenda hii lugha, nilienda darasani wiki moja tu nikaacha.

Sema napenda kusema Bonjour, j'taime na merci.
Kila la kheri wanafunzi wote na mwalimu, msibe mkalipua kama shule za kata.
 
Hahahaha, umenichekesha kweli... me ayude en la bleu? lol we mspanish, pelekwa jukwaa la The Finest. lol
Mbona umeandika sawa tu? sema unge ongeza ce na ukachanisha Y na A, basi. Au ungeuliza nilivo uliza mimi: qu'est-ce que tu as?

mwee....kumbe nimemix madesa.....ha ha......
asante kwa masahihisho......
 
Sorry;

...have seen how you introduced your self ... Bonjour, je m'appelle la Roulette Russe

there is "la" ..like this and you start mentioning last name eh?

So I think will be more correct by saying ...

Bonjour Roulette Russe, je ma'appelle la Azimio jipya!

hivi mwalimu......hizo hapo kwenye red ni sahihi zifuatane namna hiyo......?

 
Sorry;

...have seen how you introduced your self ... Bonjour, je m'appelle la Roulette Russe

there is "la" ..like this and you start mentioning last name eh?

So I think will be more correct by saying ...

Bonjour Roulette Russe, je ma'appelle la Azimio jipya!

Basi na wewe uige na kusema kuwa, "je m'apple Jipya Azimio", au???
 
Preta, maongezi kati ya members ni French playground
This is where my french start gettin' sandwiched, how in the world do you know "la" should be used before Roulette instead of "le"
Chamoto, you are right but you are moving just a little bit too fast. tutakapo anza kusoma maneno (nouns) nitaongea kuhusu masculin and feminin (Bravo Preta!)

Bonjour Chamoto,

...have noted that too .... and ...modified my post ... lets wait for the teacher and see the mechanics!
Azimio Jipya, Mimi nilisema naitwa La Roulette Russe sababu ni neno la kifaransa lililo geuzwa kua la kingereza, so nilipo jitambulisha kwa kifaranza ilikua ni sahihi kujitambulisha kwa kifaransa.
Ila kwako, sio lazima useme La Azimio jipya sababu ni neno la kiswahili.
Kwa hiyo kila mtu aseme jina lake kama lilivyo tu (kwa sasa).
Merci
 
Ne rien savoir de la langue française, vous devinez. qui donnent ce mod de JF? Alors, vous savez que je vous aime RussianRoulette
 
Back
Top Bottom