Riwa Platinum Member Joined Oct 11, 2007 Posts 2,607 Reaction score 3,084 Oct 4, 2013 #1 Riwa nitashiriki kuzikata 21.1km...mwaka jana zilinitoa jasho japo nilimaliza, am better this year! Mwana JF gani mwingine atakuwepo?! KAOMBWE Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Riwa nitashiriki kuzikata 21.1km...mwaka jana zilinitoa jasho japo nilimaliza, am better this year! Mwana JF gani mwingine atakuwepo?! KAOMBWE
KIKUNGU JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 845 Reaction score 587 Oct 7, 2013 #2 Mkuu Riwa mie pia nataka niwepo lakini sijui kama nitakuwa ninamandalizi ya kutosha kwa ajili ya Marathon.Ngoja niangalie kama nitaweza.
Mkuu Riwa mie pia nataka niwepo lakini sijui kama nitakuwa ninamandalizi ya kutosha kwa ajili ya Marathon.Ngoja niangalie kama nitaweza.
M MahinaVeterani JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 710 Reaction score 257 Oct 8, 2013 #3 Riwa said: Riwa nitashiriki kuzikata 21.1km...mwaka jana zilinitoa jasho japo nilimaliza, am better this year! Mwana JF gani mwingine atakuwepo?! KAOMBWE Click to expand... Mkuu, kuna Madogo kunako Jukwaa la Elimu wanaopiga kelele na kujisifu kuwa katika Chuo cha Nne kwa ubora Afrika. Ninashangaa kwa nini hawajitokezi hapa kuwa watashiriki hata kwa mita 100 za mwisho! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Riwa said: Riwa nitashiriki kuzikata 21.1km...mwaka jana zilinitoa jasho japo nilimaliza, am better this year! Mwana JF gani mwingine atakuwepo?! KAOMBWE Click to expand... Mkuu, kuna Madogo kunako Jukwaa la Elimu wanaopiga kelele na kujisifu kuwa katika Chuo cha Nne kwa ubora Afrika. Ninashangaa kwa nini hawajitokezi hapa kuwa watashiriki hata kwa mita 100 za mwisho!