Ze observer
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 233
- 493
Hongereni kwa ku enjoy weekend, na kuweka mikakati mingine ya week inayofuata ikiwa tumebakiza miezi miwili na siku 11 tu kuanza mwaka 2019.
Nina omba mwenye uelewa juu ya rotary clubs zilizopo hapa tanzania au kokote duniani.
Zinajihusisha na nini hasa? Kwasababu ukishakutana na mtu wa rotary inakua ngumu kukueleza ni zinahusu nini, mbali na hapo watakwambia karibu kwenye meetings kila siku jumanne saa kumi na moja hadi kumi na mbili hotel fulani. Ni watu ambao wapo very systematic kwasababu you dont ask then cant say..
Naomba kama kuna mtu ana ufahamu wa hii club anisaidie, nimeisha alikwa karibu mikoa mitatu mpka sasa lakini sijafanikiwa kwenda kwasababu sijui ABCs zake.