ROSTAM VS NIKKI MBISHI " Beef iliyo subiriwa kwa hamu" je Nikki Mbishi atawaweza Rostam ?

Verse 2

Unju ni icon ntaprove ukiput the mic on
Wakati mpo gym mnapiga picha za iphone saa sita mchana mbuzi nakula nyasi na nylon

Manzese crew maisha ya ubishi nobody invincible
Becarefully what you wishing for understanding what you listern too

Naweka kambi
 
Verse

Nilisikia wanaiita serikali ya muungano na sasa wanachanganya kila siku malumbano hiyo moja tu sihijui wengine wanataka tatu yaani nipo nipo Kama natoka jeshi la wafuu

Zohani
 
Verse
Wanauliza Nikki unaleta habari gani za ajabu nabaki nacheka kichwani haipatikani sababu.

Verse
Brother chunga Malinda na hao mapapa wanaokupa madinga
 
Kama hajui kufumba fumba kwanini hakujibu diss track ya P Mawenge futi 6?!
Nenda kasikilize nyimbo inayoitwa kelele za mashabiki yanikk utagundua alichoimba p ni marudio dogo kaguswa line mbili tu kaja na nymbo nzima
 
Hakuna Cha wivu hapo ukizungumzia wasanii wa hip-hop mpaka Sasa Nikki Nampa credit aisee
Brother tunafahamu akina nani wanafanya hip-hop na wanaozurula kwenye hip-hop!!! Nik hamfikii p The mc au one the incredible, possibly hata young killer tu!;amezidi ulalamishi,apunguze ununda unamfanya anakuwa mshamba
 
Kwa ufupi nikk ni lyrcal genius huwezi kumfananisha na roma ordinary storyteller
 
Back
Top Bottom