ROSTAM VS NIKKI MBISHI " Beef iliyo subiriwa kwa hamu" je Nikki Mbishi atawaweza Rostam ?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,107
27,090
HII BEEF NI KAMA BEEF YA " THE GAME vs JADAKISS" beef ya the game na Jada ilisuburiwa kwa hamu sana lakini haikuwahi kutokea. Jada na Game wote ni lyricists wazuri sana. kwa hapa Tz hakuna waandishi wazuri kama ROSTAM na Nikki Mbishi.. Lets wait and see kama watatoa diss track. Kama wote watatoa diss tracks natabiri ni ama ROSTAM ama NIKKI MBISHI mmoja lazima career yake ya muziki itakufa na kuzikwa. One of them will be Jaruled. Anyways beef inaweza kuwa kubwa zaidi ikawahusisha na KIKOSI KAZI ( TAMADUNI MUZIK )

NA HIKI NDICHO ALICHO KIANDIKA ROMA MKATOLIKI KUHUSU NIKKI MBISHI.

'Mwaka Wa 8 Huu Unaniongelea -Ve Na Sijawahi Kukujibu Hata Siku 1, Usiponiongelea Mimi, Utaiongelea #Rostam Vibaya!! Na Wengi Tu Hawakujibu, Sio Kama Wana/Tuna Kuogopa No, Ni Tunakupuuza Tu!! Leo Nimeona Nikujibu Kukuwahi Tusije Tukakupoteza, Unaelekea Kubaya Zaidi!! Na Nimeileta Public Coz Hata Wewe Hujawahi Nifata Private!!
Unaweza Kuwa Wewe Ni Msanii Mzuri Na Mkali Lakini Sio Bora Kwenye Kila Kitu Niki, Mara Ngapi Unalalamika Hupewi Shows Unabaniwa, Na Ulizopewa Zote Unashindwa Ku-Deliver!! Tunakushuhudia Unashushwa, Na Ndio Maana Hupewi Tena, Coz Haionekani Impact Yako!! Then Wanaopewa Na Ku-deliver Positive Unawa-Attack!! Una Chuki, Wivu,Uchawi. Mbaya Sana Hiyo!!
.
.
Uchawi Sio Mpaka Mtu Akuloge, Akikunenea Mabaya Tu Huyo Mwanga!!
Nikupe Elimu Kdogo, Niki Wasanii Wengi Ni Wazuri Sana Studio (Booth Artists) Lakini Muheshimu Sana Mtu Anayeweza Kuinua Umati Wa Watu Akiwa Jukwaani Na Ukamuitikia, Muheshimu Sana Mtu Huyo, Sio Kazi Rahisi!! Narudia Tena Sio Kitu Kirahisi Kama Unavyojiaminishaga Ukiwa Magetoni, Kisha Ukija Kwa Ground Unakuwa Surprised Na Matokeo!! Weka Heshima Kwa Walioweza!!
.
Inahitaji Investment Kubwa Sana, Na Silaha Nyingi, Wewe Its Either Hujabarikiwa Silaha Au Huwezi Kuzitumia!! Jifunze Hujachelewa Bado!! Hujui Na Huwezi Kila Kitu, Usiogope Kujifunza!!
Nitakupa Mfano Hata Mtu Kama Jos Mtambo My Blood Brother, Ni Msanii Mzuri Sana Studio, Lakini When It Comes To Show Anapata Changamoto Ku-deliver, Atakuboa Tu Jukwaani!! Huwezi Kupewa Vyote So Usione Unajua Kila Kitu, Hujui!! Na Waheshimu Wanaojua!!
Change Your Attitude Kama Itakupendeza, Kuwa Humble, Fanya Muziki Wako, Pambania Nafasi Yako, Tengeneza Fanbase Yako Then Itumie Unavyotaka, Hakuna Anayekuingilia, Then Na Wewe Usiingilie Ugali Wa Wengine.
Na Mwisho Kabisa Nakukumbusha Ukubwa Wa Roma Haukuja Kutokana Na Ulikokuita KIKI YA KUTEKWA!! Kama Unaamini Nilifanya KiKi Its All Good!! Nimekuwekea Videos Chache Za Miaka Ya Nyuma Kabla Ya Hilo Tukio Utajifunza Kitu!! Na Utaujua UKUBWA WA ROMA ULIANZA LINI NA WAPI!!!'' @roma_zimbabwe
#SamMisagoTV

ROSTAM.jpg
 
View attachment 1883694
acha fix rostam wanajua kuandika kawaida tu....sio kama ulivyowasifia hapo
 
Hao wote hawafiki hata robo ya salu T kwa kuandika..hawafiki hata robo ya J kwa kuandika
But then again hao ni generation ingine..

Kama Drake mara sijui Migos ndo hip hop ya sasa... wengine hata tukisema nini hamtatuelewa
Hapa naona kizazi cha C. L Smooth, Run DMC, Public Enemy, Grand Pubba etc
 
Back
Top Bottom