Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 43
Alafu hizi habari kama nimezichoka vile kila tukiamka HABARI NDIO HIYO......
Natamani topic ibadilike FISADI ROSTAM ajadiliwe kama alivyo na MZEE Mengi pia kama Mengi hii kuwapambanisha PAPA na NYANGUMI ni kama mnatuondolea ohondo vile alafu nasikia kama na nguvu za kupambana na mafisadi zinapunguzwa vile, alafu tena nahisi watu wengi mnatumiwa vile, alafu hata haipendezi vile, alafu alafu nahisi wapambe wa kambi mojawapo mtaniponda vile, alafu nahisi sitawajali mie.
WITH LIGHT TOUCH......

Last edited: