Kuna idadi kubwa ya wafanyakazi wameacha au kufukuzwa tokea aingie Hussein Bashe, lakini wakienda PPF, hakuna hata senti tano iliyoingizwa tokea 2008 ingawa wanakatwa kila mwezi. Pia, wafanyakazi hao hawajalipwa mishahara ya miezi ya Agosti, Septemba na Oktoba hadi wengine wameacha kazi wanadai mishahara.
Hivi hakuna wa kumwajibisha huyu fisadi alipe haki za watu?
Pia, wafanyakazi hao hawajalipwa mishahara ya miezi ya Agosti, Septemba na Oktoba hadi wengine wameacha kazi wanadai mishahara. Hivi hakuna wa kumwajibisha huyu fisadi alipe haki za watu?
Ushahidi upo mkuu, watu wameenda hadi huko PPF wanaambiwa hakuna michango iliyoingizwa.nadhani kama ni habari cooparatiom ile inayotoa magazeti ya mtanzania jamaa atakuwa anaendesha biashara kwa hasara maana magazeti yake hayauziki. ila kuhusu kutowasilisha michango yenu ppf kama ushahidi unao strong lete tafadhali
Jumla ya mishahara yenu kwa hiyo miezi ni shillingi ngapi na nyie mmezalisha shillingi ngapi? Msitegemee kuwa achukue pesa za "deal" zake nyingine aje kukulipeni mishahara; andikeni habari zinazouzika ili magazeti yenu yanunuliwe muwezi kujilipa mishahara
Hiyo miezi ulioitaja ya mwaka gani? Kwani sijui ni mTanzania yupi aliekwisha lipwa mshahara wa August September na October 2011, au nyie hulipwa in advance?
Hiyo miezi ulioitaja ya mwaka gani? Kwani sijui ni mTanzania yupi aliekwisha lipwa mshahara wa August September na October 2011, au nyie hulipwa in advance?
Mimi ni mwajiriwa wa Rostam Aziz katika kampuni yake ya New Habari.
Huyu jamaa ni tajiri sana, ana kampuni nyingi, lakini nafikiri anapata utajiri wake pamoja na kudhulumu. Hivi ninavyoandika, wafanyakazi wote wa kampuni hiyo wanakatwa malipo ya PPF lakini hajapelekwi.
Kuna idadi kubwa ya wafanyakazi wameacha au kufukuzwa tokea aingie Hussein Bashe, lakini wakienda PPF, hakuna hata senti tano iliyoingizwa tokea 2008 ingawa wanakatwa kila mwezi. Pia, wafanyakazi hao hawajalipwa mishahara ya miezi ya Agosti, Septemba na Oktoba hadi wengine wameacha kazi wanadai mishahara.
Hivi hakuna wa kumwajibisha huyu fisadi alipe haki za watu?
You must be enjoying your life as it is...You can crack very funny jokes. Keep it up.Hiyo miezi ulioitaja ya mwaka gani? Kwani sijui ni mTanzania yupi aliekwisha lipwa mshahara wa August September na October 2011, au nyie hulipwa in advance?
Hizi ni pumba, nimeuliza hiyo miezi iliyotajwa ni ya mwaka gani?
kwa kuanza kumuwajibisha anza wewekumfungulia mashtaka mahakamani kuhusu malipo ya PPF yako,utakuwa mwanzo mzuri