Mwazange
JF-Expert Member
- Nov 16, 2007
- 1,056
- 83
Kama mmeshindwa mi namloga.
Watu wa namna hii walishajipanga hata na kwenye idara hiyo mkuu...usikute huko ndo kawekeza kuliko hata Dowans....🙂🙂
Kama mmeshindwa mi namloga.
Bubu Ataka Kusema said:Alisema, kampuni zinazodaiwa kugombea eneo awali zilikuwa kampuni moja. Hizi kampuni awali zilikuwa moja. Zimegawanyika kutokana na sababu zao binafasi, alisema Kone katika mahojiano na gazeti hili kwa njia ya simu.
Bongo, kwanza unapata tenda(mkataba) ndipo unatafuta eneo. hii picha ilivyo japo Dr. Harry hakusema, mwanzo walikuwa wote, yeye akajitoa, wakaanzisha kampuni yao, wakakimbilia Singida kwa wananchi, wakapata eneo. Wenzao wakamwaga rupia, wakapata mkataba na kuamini watamwaga tena rupia kupata eneo.
Kwa lugha nyingine, Dr. aliwazungunguka wenzake na sasa anapiga kelele kutafuta public symphathy. Mwisho wa movie, wote ni mafisadi, ila atakae cheka kweli, ni atakaecheka mwisho.
Hii habari mbona ni mpya? Kama ni kweli hapo kuna kazi kubwa. Inaelekea kuna mengi ambayo wananchi hatujui kwenye hii saga.
Sasa Mwandishi kwanini asiwaulize wahusika kama hii habari ni kweli?
Dk. Slaa anasema akina Rostam wanataka kuzalisha umeme wakati hawana eneo. Hicho ndicho chanzo cha ugomvi wao na Dk. Mwakyembe (Harrison Mwakyembe, Mbunge wa Kyela).
Alisema, Nimekwenda Singida. Naufahamu vema mradi unaodaiwa. Nimeongea na wanakijiji Singida na viongozi wao.
Hili Riburushi kwa nini mnalionea aibu jamani?
Mnataka atutawale hadi kwenye familia zetu?Jamani inauma sana mi ngoja niende kwa bibi Swanga nampiga na kombora kali afie mbali atatunyanyasa mpaka lini?Kama mmeshindwa mi namloga.
Mkuu FMES, amini usiamini, mimi sijui lolote, na hata wasifu wako naupokea kimachale. nijuacho ni kitendo cha Dr. Harry kushutumiwa ana conflict of interest, yeye katika mkutano wake alimshutumu King Maker, tukajiuliza kwanini asijibu shutuma na badala yake anatoa mashambulizi.- This is incredible, yaani Mkuu Pasco kumbe unajua yote, unaona sasa mimi nilisema haya, sasa tupe basi ukweli wote tujue maana wewe unaonekana unajua sana hii deal, duh! Patamu sana hapa, ndio maana mimi nilisema hawa baadhi ya wawekezaji a decent man kama Mwakyembe, amekutana nao wapi?
- Mkulu Pasco weka vitu hapa maana fumbo hufumbwia mjinga tu, au?
Wazee wa umeme umeme lakini sio Singida FMES!
Shisye nakuheshimu, naomba tuheshimiane, kwa vile hunijui, sikujui, our common denominator ni jamii forums, hizo interest zangu binafsi hapa ni zipi?Wewe una interest zako binafsi hapa! Sijamsikia Rostam akisema chochote, mbona Dr. tu ndio ana confidence ya kuongea na wananchi? Doesn't that ring a bell? Au ndio amekupigia simu umsemee nini?
- Kuna siku wa-Tanzania tutakuja kuamka na ku-figure out how this Rostam man works, naomba mtu mmoja humu anihakikishie kwamba hii kichwa cha topic na habari nzima sio yeye aliyei-plant kwa lengo lake maalum ambalo ndilo hasa tunalifanya sasa hivi hapa na huu mjadala! Hii habari kwangu ni clear kuwa imetengezwa na yeye mwenyewe kwa makusudi maalum.
- Ufike wakati ndugu zangu tuamke usingizini!
William.
Mtamfanya Rostam ajione babu kubwa kweli kweli. Kila kitu Rostam, itafika siku wananchi watachoka na hizo kelele za Rostam kila siku.
Kama ana mambo ya ajabu, basi mvizieni na kumkamata kwenye angle ambayo itakuwa ngumu kujinasua.
Magazeti yote haya na wanasiasa wote hawa, wanaimba Rostam Rostam lakini hakuna hata mmoja ambaye ana ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani?
Watu wanajua hata leo kaenda choo kipi, kakutana na mtu gani lakini hakuna mtu ambaye ana ushahidi wa wazi kumwonyesha Rostam akitenda kosa?
Wakati mwingine njia ya kumkamata mbaya wako ni kukaa kimya.