Rostam na Lowassa, msaidieni Meshack wa Channel 10!

Tulishuhudia mnagawa pesa kuanzia ndani mpaka nje, misikitini mpaka makanisani, kwa maaskofu mpaka mashekh n.k. Huyu ni mfanyakazi na mtangazaji wa Channel 10 ambayo inamilikiwa na Rostam ambaye ni rafiki wa Lowassa, si mwingine, ni Meshack Nzowa.

Nampa sana pole kwa kuumwa Nzowa lakini nawakumbusha matajiri wake, mahodari wa kutoa, wamsaidie kiasi cha pesa kinachohitajika ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi, msijifanye hamna pesa ama hamuelewi yaliyomkuta!

Msaidieni ama sivyo hii ni aibu kubwa kwenu nyie wawili, hauwezi ukampenda Mungu usiyemwona na aliye mbali na wewe halafu ukaacha kumsaidia mtu aliye karibu yako sana.

Punguza hasira ....Lowassa ndo Rais wako .
 
Suala ka kutoa ni moyo ..pia si responsibility ya mtu fulani kumtolea mchango mwingine..tusiingilie maisha binafsi ya watu kwa sababu ya chuki za kijinga..ishauri serikali yako iboreshe utoaji wa huduma za afya.usiwape watu jukumu ambalo sio lao.si uliichagua serikali hiyo iambie ihudumie wagonjwa.
 
Na Wewe Hiyo Channel One Yako Inapatikana Ktk Sayari Gani? Mliokuja Dar Leo Na Treni Ya Bara Mnajulikana Tu.

Mkuu hujui kuwa Tanzania kuna local TV Station inayoitwa "TV One"?? Hujui pia inaonekana hata kwa walio nje ya Dar na hivyo huhitaji kuwa "wakuja" kwa train ili kuiona Dar??

Iko kwenye ving'amuzi vya Startimes (sina uhakika kama ipo na kwenye ving'amuzi vingime)
 
Tv One Ndiyo Channel One? Acha UPOPOMA Na Siku Nyingine Usipende KUKURUPUKA Kwani NITAKUCHANA " Live ".
 
Tv One Ndiyo Channel One? Acha UPOPOMA Na Siku Nyingine Usipende KUKURUPUKA Kwani NITAKUCHANA " Live ".

Ungenijibu na kunielewesha kwa staha ungefanya vema zaidi

Huu ndio utanzania wetu...kuheshimiana hata tunapotofautiana...

Sijawahi kuwa popoma na haitakaa itokee niwe popoma....I'm a sane being ninaetegemewa na nchi yangu na family yangu....

Above all, I've learnt to be thankfull and grateful, irrespective
 
Mtoa mada ni kiazi yaan Rostam tangu lini akmiliki channel ten..ukiwa ccn unakuwa punguan
 
Tulishuhudia mnagawa pesa kuanzia ndani mpaka nje, misikitini mpaka makanisani, kwa maaskofu mpaka mashekh n.k. Huyu ni mfanyakazi na mtangazaji wa Channel 10 ambayo inamilikiwa na Rostam ambaye ni rafiki wa Lowassa, si mwingine, ni Meshack Nzowa.

Nampa sana pole kwa kuumwa Nzowa lakini nawakumbusha matajiri wake, mahodari wa kutoa, wamsaidie kiasi cha pesa kinachohitajika ili aweze kwenda kutibiwa nje ya nchi, msijifanye hamna pesa ama hamuelewi yaliyomkuta!

Msaidieni ama sivyo hii ni aibu kubwa kwenu nyie wawili, hauwezi ukampenda Mungu usiyemwona na aliye mbali na wewe halafu ukaacha kumsaidia mtu aliye karibu yako sana.

Why usianze wewe kuchangia badala ya kulia lia
 
Rweye nadhani umekurupuka na kuandika ujinga.
1/Meshack Nzowa ni mmtangazaji wa TV1.
2/Rostam Aziz sio mmiliki wa channel ten.

*Tusidhihaki afya za watu, meshark Nzowa alipata ajali mbaya sana, kwa sasa anatafuta pesa ili apelekwe haraka India ili kuokoa maisha yake, mtu yoyote anaweza kumchangia. Ugonjwa wake usiwe ni sababu ya kuwadhihaki wengine.

Pointfull
 
wakati wakitoa hela wanawanunua sasa huyo wa chanelten yupo pekee kule makanisani misikitini ni paplek
 
Huyu ni wa kuchukuliwa hatua, huwezi kupost upumbavu humu halafu unyamaziwe, unachafua watu unadhalilisha, na zaidi post yako iko kisiasa zaidi:what:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom