Rostam - Kuisambaratisha Tanzania (?)

Mkuu naomba uhakika wa habari hii..
Tunamchukia sana RA lakini tusije pandikiza sumu ktk maswala nyeti sana kwa sababu yake hali matakwa ya Uraia wa nchi mbili una malengo makubwa zaidi ya RA.

Nakubaliana na wewe tunaomba habari kamili please
 
Nakubaliana na wewe tunaomba habari kamili please

Kabla ya kupewa jibu unalotaka, kumbuka gazeti la Rostam lilivyoandika, eti Slaa katumwa na maaskofu. Mbona hatukuona Mtanzania wakiandika Kikwete Katumwa na Mashehe. Hili swali kwa nini hawaulizwi Mtanzania na mmiliki wake Rostam. Kwa vile RA anapesa za ufisadi ndio asiulizwe?
 
Mkuu naheshimu unayoyasema but lazima uelewe kuwa hii habari haijakaa sawa bali imeandikwa kwa mtazamo wa kuwatarget watu wa aina fulani mbona sie huwa tunaweka habari kamili halafu mtu aamue jinsi anavyofahamu? Kuna kosa gani nayeye akaweka hivyo? Mie nimeshindwa kucomment kwasababu sioni hoja!
 
Mkuu naomba uhakika wa habari hii..
Tunamchukia sana RA lakini tusije pandikiza sumu ktk maswala nyeti sana kwa sababu yake hali matakwa ya Uraia wa nchi mbili una malengo makubwa zaidi ya RA.
Mkandara,
Unafahamu kuwa siwezi kusema kitu nisicho na uhakika nacho. Hii habari nilipewa na afisa aliyekuwa Ikulu enzi za Mkapa. Mkapa hakuifanyia kazi kama alivyotarajia RA na Mwungana alipoingia likawa suala la kipaumbele. Uraia wa nchi mbili unaweza kuwa na malengo makubwa zaidi ya RA lakini chimbuko lake ni RA.
 
Mkuu naheshimu unayoyasema but lazima uelewe kuwa hii habari haijakaa sawa bali imeandikwa kwa mtazamo wa kuwatarget watu wa aina fulani mbona sie huwa tunaweka habari kamili halafu mtu aamue jinsi anavyofahamu? Kuna kosa gani nayeye akaweka hivyo? Mie nimeshindwa kucomment kwasababu sioni hoja!

Watanzania ukiwemo wewe wanahaki ya kuhoji uzalendo wa yeyote na hasa Rostam ambaye yupo katikati ya misukosuko inayolikumba taifa letu. Hii habari ya Richmond inahusiana sana na RA. Ufisadi huu ndio unaotafuna nchi yetu. Ni juu ya serikali ya CCM kuelezea uraia wa RA, tunahaki ya kuhoji, hatuoni uzalendo wake. Watanzania wengine hatuna pa kwenda isipokuwa Tanzania. Yeye anaweza kupaa wakati wowote kwenda nchi yoyote, mfano Iran. Huyu bwana anamagazeti yake ya uchochezi na uzushi, kwa nini watu wamtetee humu?
 
Watanzania ukiwemo wewe wanahaki ya kuhoji uzalendo wa yeyote na hasa Rostam ambaye yupo katika ya misukosuko inayolikumba taifa letu. Hii habari ya Richmond inahusiana sana na RA. Ufisadi huu ndio unaotafuna nchi yetu. Ni juu ya serikali ya CCM kuelezea uraia wa RA, tunahaki ya kuhoji, hatuoni uzalendo wake. Watanzania wengine hatuna pa kwenda isipokuwa Tanzania. Yeye anaweza kupaa wakati wowote kwenda nchi yoyote, mfano Iran. Huyu bwana anamagazeti yake ya uchochezi na uzushi, kwa nini watu wamtetee humu?

Mzee hakuna asiyejua Rostam ni mwizi na hasafishiki kama rafiki yake Lowassa but kabla hujamtuhumu toa vielelezo vinavyomfanya aitwemwizi ama sivyo sioni haja ya kumuita mtu mwizi. Kuhusu hili swala la uraia wa nchi mbili kama RA alilishinikiza linagusa mpaka usalama wa taifa kwani inakuwaje mtu mmoja ashinikize jambo lenye kuwaaffect watanzania milioni 40? Sasa hatuwezi kuwa tunabishana hilo pasina kuwa na taarifa kamili wazee.
 
Mkuu najua unafahamu kuwa ukiwa kiongozi ukishatuhumiwa vibaya unatakiwa uachie ngazi haraka. Kuna habari ambayo siukumbuki vizuri lakini iliwahi kusimuliwa ma Mwalimu. Ilitosha mtu kuachia ngazi kwa tuhuma, tu. Kwa nini mtu ubebe tuhuma kubwakubwa. Kwani kuna waarabu na wahindi wangapi Tanzania. Kwa nini yeye tu yupo katikati ya kashfa?
 
Mkuu Ramos,

Kula tano za juu mheshimiwa.

Yaani naogopa kurudia maneno yako nisije nikachafua 'article yako murua na mwanana sana'. Sijui wangapi wamekuelewa, naomba wengi wakuelewe vema.

Ninaongezea tu 'ice on a cake'', matajiri wanaweza kulivuruga taifa lolote duniani kwa fedha zao hasa zikiwa ni chafu. Huwa hawaonekani katika ''move'' lakini wao ndio wenye nguvu sana. Wakuu JF mnamkumbuka Farah Aideed wa Somalia, hakuwa anaipigania nchi yake alitaka vurugu zienee ili achote mali. Leo nchi inatawaliwa kwa mitaa, na kila mtawala wa mtaa analipa kodi kwa tajiri alyepo Ulaya au marekani, watu wanauana. Hawa Pirates mnaowasikia ni matajiri ambao hawataki amani kwasababu biashara zao zitakwama.
Kule Chad kwa akina Gukoni wadeye na Husseni habri yalikuwa ni hayo hayo.

Tangia hawa akina RA na EL watwae CC na NEC mnaona mambo yanavyoyumba! Jiulize RA anasababu gani ya kuwa NEC, aache miradi yake?

Tangu RA na EL walipofanikiwa kuweka mtu wao kwa fedha, sasa rushwa hadi ujumbe wa nyumba kumi.

Ni hawa wanaotumia umafia mkubwa kuhakkikisha kuwa miba ya kuichoma CCM hairudi bungeni, wanamwaga fedha, wanatumia vyombo vya habari kwasababu wanafedha na wanaweza kununua kila kitu.

Pengine hata humu JF wapo walionunuliwa tayari kwasababu kuna hoja za ukabila na udini zinatia kinyaa.

Jambo la kushangaza ni kuwa kule mitaani akina John,Hussein,Lilian, Singh, mwanaidi, kabuye, chakubanga, wala hawabaguni na hawajui ujinga huu. Hivi Unajiita vipi great thinker kama unashabikia udini au ukabili. Kila mtu awe na imani yake na hata wapagani waheshimiwe hakuna sababu ya kuandika uchafu au kuweka picha za kuudhi watu, hawa wametumwa na akina RA kama Ramos alivyoanisha. Kama hawakutumwa basi ni watu wa nje wasiotutakia mema kama jirani.

Kama hawatadhibitiwa wataliangamiza taifa. Hoja hapa isiwe Dual citizen au mwizi ni nani, hawa wanataka kurtuondoa katika hoja yamsingi kabisa '' Nadhani kazi kubwa tuliyonayo wa Tz kwa sasa wala sio kupambana na umasikini wala nn... ni kupambana na wahaini''

Hawa akina RA watatumia vyombo vya habari ili kuwaruga watu na kutupeleka kubaya kama kule Rwanda, wakati tunalumbana dini ipi ya kigeni nzuri wao wanachota milioni 150 kwa siku, wakati tunalumbana kabila gani bora wanaongeza mikataba fake kama ya TICK.

Tuungane kukataa ujinga wa kutugawa kwa misingi ya kikabila au kidini,si kwa faida yetu ni kwa maslahi yao,mapanga yakicharuka wanapanda ndege na kusikilizia wakiwa Paris. Mwenyezi mungu pishilia mbali!
 
Wataalam wa kazi.... Mimi nadhani waTz tunahitaji nishani ya ulalamishi... we complaint alot and do very little to address what needs to be done. HIvi kwa lawama zote anazopata Rostam na alivyo accessible...

AU ndio uvuvzela na njaa zetu?
 
Kabla ya kupewa jibu unalotaka, kumbuka gazeti la Rostam lilivyoandika, eti Slaa katumwa na maaskofu. Mbona hatukuona Mtanzania wakiandika Kikwete Katumwa na Mashehe. Hili swali kwa nini hawaulizwi Mtanzania na mmiliki wake Rostam. Kwa vile RA anapesa za ufisadi ndio asiulizwe?

Ndugu yangu kwa utawala wa CCM na JK , Rostam Aziz hawezekani, kwa taarifa yako yeye na EL ndiyo marais, JK ni boya tu, zile mbinu zote chafu zilizotumika kuingiza JK pale magogono zilisukwa na hawa jamaa, hivyo hakuna mtu yoyote katika serikali ya sasa anaweza kumgusa RA, huo ndiyo ukweli ndiyo maana Mkuchika ameufyata kwa kauli za kishetani na kichochezi zilizoandkwa na magazeti ya RA. Labda TEC wamue kuchukuwa hatua za kisheria, japo nahuko mahakamani hawa jamaa wana influence kubwa tu.
 
Hahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!Ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu ivo sio nyinyi wakina RAMOS mliokuwa mnapiga kelele ya kuwa cuf chama cha kiislaam sasa kuna ubaya gani kuambiwa chadema chama KATOLIKI? Jamani jamani uwo ndo ukweli mliandika,mlipiga kelele, makahubiri makanisani,kwenye magazeti yenu,vyuo vikuu,kila mahal mlinadi cuf wadiniau siasa kali au sio nyinyi ikafika wakati mpaka omari mahita alipokuja na sera ya visu vyenye rangi za cuf makakubaliana nae kuwa ni kweli bila ya aibu mkaendeleza kelele sasa RA anataka kuitumbukiza tanzania kwenye vita kwanini mmeguswa wakristo waw!!!!NAWAOMBA WAISLAAM wasiisapoti chadema kwanza mgombeawake ni Padri,alieasi kwa kuowa bado ni mkristo tena 'katoliki ni mbaya kwa waislaam na dini nyengine watanzania tushirikiane tumpige vita hakuna cha RA wala nini tusiwasikilize wakristo wala wasituhadae tumpige vita slaa,tumsapoti Pr.LIPUMBA natuwaache na slaa wao.Kama Lipumba Muislam,Slaa mkristo hapo ndipo mlipotufikisha wakristo tuendeleeni tuuu.
 
Ladies & Gentlemen,

Tuna tatizo kubwa kwenye jamii yetu!
Tatizo lenyewe ni umasikini wa akili na kupitia hilo watu wachache wanatukoroga wanavyotaka.
Kwa wachache wenye akili kichwani, angalieni hata michango ya wanaJF kwa mambo ya msingi kwenye jamii yetu kama hili.
TUNA SHIDA KUBWA!
Matatizo yote ya TZ yanaanzia hapa!
 
Hahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!Ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu ivo sio nyinyi wakina RAMOS mliokuwa mnapiga kelele ya kuwa cuf chama cha kiislaam sasa kuna ubaya gani kuambiwa chadema chama KATOLIKI? Jamani jamani uwo ndo ukweli mliandika,mlipiga kelele, makahubiri makanisani,kwenye magazeti yenu,vyuo vikuu,kila mahal mlinadi cuf wadiniau siasa kali au sio nyinyi ikafika wakati mpaka omari mahita alipokuja na sera ya visu vyenye rangi za cuf makakubaliana nae kuwa ni kweli bila ya aibu mkaendeleza kelele sasa RA anataka kuitumbukiza tanzania kwenye vita kwanini mmeguswa wakristo waw!!!!NAWAOMBA WAISLAAM wasiisapoti chadema kwanza mgombeawake ni Padri,alieasi kwa kuowa bado ni mkristo tena 'katoliki ni mbaya kwa waislaam na dini nyengine watanzania tushirikiane tumpige vita hakuna cha RA wala nini tusiwasikilize wakristo wala wasituhadae tumpige vita slaa,tumsapoti Pr.LIPUMBA natuwaache na slaa wao.Kama Lipumba Muislam,Slaa mkristo hapo ndipo mlipotufikisha wakristo tuendeleeni tuuu.
Mtu mzima hovyoo
 
Sioni sababu ya wakristo/chadema kulalamika. haya yanayotokea sasa hivi ndivyo ilivyokuwa kwa CUF chaguzi mbili zilizopita. CUF ilihusishwa na uislamu si kwa sababu ina sera yoyote inayotetea uislam ila tu kwa sababu wanaoonekana kwenye kampeni wengi wamevaa vibarakashee, na hata humu janvini huwa yanasemwagwa sana tu na akina buchanan.
Ila kwa slaa kuambiwa katumwa na kanisa ni kikwazo. Hata mimi nasema kuwa Slaa katumwa na kanisa, hakuna siri hapa mbona mambo yako wazi mitaani?
Mwisho,
Atoe msimamo wake juu ya
i. mahakama ya kadhi
ii. OIC
Otherwise akatetee jimbo lake karatu.
 
Tuombe Mungu Mkuu atuepushie mabaya zaidi kwa Mama Tanzania na huu uwe mwaka wa mwisho kuonewa, kunyanyaswa, kuvurugwa, kudanganywa, kudharauliwa na kutemewa mate na washenzi

I tell you that it is easier for KIKWETE kupelekwa mahakani hata leo!!, kuliko RA kuchukuliwa hatua yeyote ya kisheria. After all nani atamchukulia hatua wakati wote wako chini ya control yake!!?
 
"Kwa ugonjwa huu; nitakufa.. Watanzania wale watalia sana.., nitawaombea kwa Mungu"
Ndugu wanaJF nimeona nianze kwa kunukuu sehemu ya maneno ya Baba wa taifa katika siku zake za mwisho pale St Thomas...

Rostam Aziz, wote tunamfaham kama mbunge wa Igunga na kada wa CCM na mfanya 'biashara' maarufu. Lakini naomba nimzungumzie Rostam tofauti kidogo. Nimzungumzie Rostam kama kiongozi mtendaji wa 'syndicate' ya wahaini wa kimataifa wanao-control chumi na siasa za mataifa kadhaa duniani hadi sasa, yeye akiwa anatekeleza majukumu yake hapa Tanzania.

Mtakumbuka ni kiasi gani hawa jamaa kuputia kwa RA waliwekeza hadi kuhakikisha wamechukua uongozi wa nchi kwa kuweka raisi waliyemtaka wao kwa matumizi yao. Baada ya kushika nafasi hiyo mnaona jinsi walivyofanikiwa kuuweka uchumi na raslimali za Tz mikononi mwao.

Wamefanya kazi kubwa sana kuhakikisha wanawafitinisha watanzania kwa misingi ya ukabila ili kuhakikisha hakuna kundi tofauti na wao wanaochukua madaraka. Kwa sasa wameingia katika kipengele cha udini bila kujali madhara yake kwa waTz. Mtakumbuka hivi majuzi gazeti moja la RA liliandika ...Dr Slaa kugombea uraisi kwa tiketi ya CHADEMA.. 'ategemea udini wa wakatoliki kushinda'...

Haihitaji kuwaza sana kugundua madhara ya kauli kama hii kwa kizazi cha sasa na cha baadae...

Nadhani kazi kubwa tuliyonayo waTZ kwa sasa wala sio kupambana na umaskini wala nn.. Ni kupambana na wahaini hawa...

Rostam Aziz ni Mhaini na Habari Corporation ni wahaini pia ni wakuweka kizuizini.
 
sioni sababu ya wakristo/chadema kulalamika. Haya yanayotokea sasa hivi ndivyo ilivyokuwa kwa cuf chaguzi mbili zilizopita. Cuf ilihusishwa na uislamu si kwa sababu ina sera yoyote inayotetea uislam ila tu kwa sababu wanaoonekana kwenye kampeni wengi wamevaa vibarakashee, na hata humu janvini huwa yanasemwagwa sana tu na akina buchanan.
Ila kwa slaa kuambiwa katumwa na kanisa ni kikwazo. Hata mimi nasema kuwa slaa katumwa na kanisa, hakuna siri hapa mbona mambo yako wazi mitaani?
Mwisho,
atoe msimamo wake juu ya
i. Mahakama ya kadhi
ii. Oic
otherwise akatetee jimbo lake karatu.

thibitisha
 
Watanzania tuna matatizo ambayo pengine yanasababishwa na mfumo wetu wa siasa na elimu! Haiingii akilini kutwa kucha watu kulaumu vitendo viovu vya viongozi walioko madarakani lakini wakipewa mbadala wanakuwa wa kwanza kutouunga mkono mbadala huo! Kwa miaka takribani ishirini na tano sasa, Watanzania wamekuwa wanalia jinsi uchumi wetu ulivyokamatwa na watu wachache, ie. mafisadi! lakini ukifika uchaguzi, tunakuwa wa kwanza kukimbilia kwa hao watu kuoba fedha kidogo kwa ajili ya kushibisha matumbo yetu kwa siku zisizozidi mbili, na kwa ujinga wetu tunampa kura huyohuyo ambaye siku zote tunamwona mwizi. Akitokea mgombea ambaye ana nia nzuri ya kulipeleka taifa hili mbele, tunamzushia maneno yasiyo kuwa na mbele wala nyuma. Slaa amepigana sana kwa ajili ya Watanzania wa itikadi na dini zote, hilo wote tunalijua na CCM inalifahamu. Lakini CCM wanajua kuwa Watanzania kwa upumbavu wetu, hatuwezi kumuunga mkono Slaa. Wanafahamu kuwa Watanzania wamekuzwa kwa mazoea. CCM itendelea kupeta na itapeta bila kujali kuwa Watanzania hawapati manufaa yoyote kwa wao kuendelea kuongoza. Kikwete ni mwigizaji na hicho ndicho wanachofanya wengi wa Mawaziri na watendaji wake. Haya maswala ya udini na ukabila yanazushwa tu kwa nia ya kuwaghilibu watanzania. Hivi hizi dini zilizoletwa na Wazungu na Waarabu ndizo zitugawe kiasi hiki? Siku hizi uteuzi wowote ukifanyika, unafanyika kwa misingi hiyo.. tutafika? Nimeona niyaseme hayo, labda moyo wangu utatulia maana naamini kuwa Watanzania tuna uwezo wa kupiga hatua, lakini hatuwezi kufanya hivyo kwa sababu wale wanaotakiwa kutuonyesha njia wanatupotosha.
 
Wataalam wa kazi.... Mimi nadhani waTz tunahitaji nishani ya ulalamishi... we complaint alot and do very little to address what needs to be done. HIvi kwa lawama zote anazopata Rostam na alivyo accessible...

AU ndio uvuvzela na njaa zetu?

Mimi bwana Kiswanglish sikijui kabisa,lakini hayo maneno nilliyoyakoleza kwa wino kimantiki unamaanisha nini??

Dah! kweli Vuvuzela huwezi kulijua sauti yake mpaka pale litakapopulizwa!!
 
Back
Top Bottom