Rostam Aziz okoa uchumi wa Tanzania, tunaamini uko karibu na mkuu wa nchi

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,040
8,895
Tunajua na tunaamini kwa sasa upo karibu sana na mkuu wa nchi. Tafadhali tumia ushawishi wako kumshauri mambo mbalimbali ya uchumi.

Mkuu wa nchi inaonekana hajui chochote kuhusu mambo ya uchumi. Hebu angalia ukuaji wa deni la taifa na hali ya biashara nchini kuanzia 2015-2020.

Rostam tunajua una makandokando mengi sana huko nyuma ila kwa sasa tuweke yote pembeni tuijenge nchi.
IMG_20200823_213733_761.JPG

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Matusi kwa kanisa, matusi mskubwa zsidi kwa waislam lskini kwa sjili ya njaa baadhi ya mashehe na waamini watashsngilia ....lakini ULIONA WAPII? kwa sauti ya bwege

Hata Askofu Mkuu ameiingia kwenye mtego huu kijinga kabisa. Labda ni kumuogopa Mkuu wa nchi. Katibu Mkuu TEC ndiyo kabisa amejidhihirisha kuwa ni mwanasiasa kwa ujinga aliousema alipopewa mic. Yesu Kristo jipiganie mwenyewe na Kanisa lako. Uliowapaka mafuta wamenawa mikono yao kwa JIk na kuyaondoa kwa njaa zao huku vitambi vikiwafumka kwa kulitaja Jina lako ili mradi mkono uende kinywani.
 
Tunajua na tunaamini kwa sasa upo karibu sana na mkuu wa nchi. Tafadhali tumia ushawishi wako kumshauri mambo mbalimbali ya uchumi.

Mkuu wa nchi inaonekana hajui chochote kuhusu mambo ya uchumi. Hebu angalia ukuaji wa deni la taifa na hali ya biashara nchini kuanzia 2015-2020.

Rostam tunajua una makandokando mengi sana huko nyuma ila kwa sasa tuweke yote pembeni tuijenge nchi.View attachment 1546286

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Yule jangiri mdogo wake Rostam aliyekamatwa na serikali ,kesi yake iliishia wapi ?

Tumia Taifa Gas
 
Hata Askofu Mkuu ameiingia kwenye mtego huu kijinga kabisa. Labda ni kumuogopa Mkuu wa nchi. Katibu Mkuu TEC ndiyo kabisa amejidhihirisha kuwa ni mwanasiasa kwa ujinga aliousema alipopewa mic. Yesu Kristo jipiganie mwenyewe na Kanisa lako. Uliowapaka mafuta wamenawa mikono yao kwa JIk na kuyaondoa kwa njaa zao huku vitambi vikiwafumka kwa kulitaja Jina lako ili mradi mkono uende kinywani.
Mkuu nchi hii watumishi wa Mungu aliye hai wanaelekea kuisha.
Magufuli anatamba, amekuwa kasisi, askofu, mchungsji na shehe, anafanya ATAKAVYO.

LEO AMEZITUKANA IMANI ZA KIKRISTO kwa kufanya mnada kwa mtaji wa kisiasa na kuwalisha Waislamu matapishi yao.

Tangu lini pesa za madhabahuni zinajenga misikiti?

Niambieni ni wapi imani hizi zinafungamana?

Washirika twashirikiana kijamiii lakini imani zetu hazifungamani kabisa.
 
Yule askofu hakuwa na amani kabisa.
 
Tunajua na tunaamini kwa sasa upo karibu sana na mkuu wa nchi. Tafadhali tumia ushawishi wako kumshauri mambo mbalimbali ya uchumi.

Mkuu wa nchi inaonekana hajui chochote kuhusu mambo ya uchumi. Hebu angalia ukuaji wa deni la taifa na hali ya biashara nchini kuanzia 2015-2020.

Rostam tunajua una makandokando mengi sana huko nyuma ila kwa sasa tuweke yote pembeni tuijenge nchi.View attachment 1546286

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hakuna miezi ambayo uchumi wa Tanzania umeanguka kama kuanzia June hadi sasa , nchi nyang'anyang'a
 
Mkuu nchi hii watumishi wa Mungu aliye hai wanaelekea kuisha.
Magufuli anatamba, amekuwa kasisi, askofu, mchungsji na shehe, anafanya ATAKAVYO.

LEO AMEZITUKANA IMANI ZA KIKRISTO kwa kufanya mnada kwa mtaji wa kisiasa na kuwalisha Waislamu matapishi yao.

Tangu lini pesa za madhabahuni zinajenga misikiti?

Niambieni ni wapi imani hizi zinafungamana?

Washirika twashirikiana kijamiii lakini imani zetu hazifungamani kabisa.

Huu ni uzezeta uliopitiliza kwa manufaa ya kisiasa ya jitu moja na genge lake. Kwa jinsi lilivyopenyezwa pale inaonekana dhahiri kuwa Askofu Mkuu alijua mapema na ndiyo maana akatoa chapchap laki 2 kutoka kwenye fedha zilipohifadhiwa palepale altareni bila kigugumizi chochote. Kweli hatuna maaskofu. Dini imebakwa na walofilisika kiroho na wanafiki wasioweza tena kumwambia hadharani mfalme Henri (mtawala wa kisiasa) kuwa UMEKOSEA.
 
Kanisa katoliki linahitaji mageuzi kama enzi la Luther. Biongozi wake wamegeamua kula fungate na wanasiasa wanafiki kwa maslahi yao binafsi.
 
Kazi ya kanisa katoliki Ni kueneza injili na kufanya mataifa yote kuwa wanafunzi wa Yesu Kristu. Sijui kama katika msikiti injili ya Yesu Kristu inahubiriwa!
 
Ni aini hii...yaani kama wananchi hatuna maamuzi juu ya nchi yetu mpaka tutegemee hisani ya mtu mmoja ambaye pia ana maslahi yake
 
Back
Top Bottom