Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

 

Attachments

  • 1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 7
Huu ndo ule uzi wa mida ya wanga?nlipitiwa dahπŸ€¦β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Basi watu wa system wameongezeka humu jukwaani maana kama ule uzi wa tangazo ulikuwa hauna shida yoyote
Ila tunachekesha! Hata angetuambia sisi tungefanyaje zaidi ya kusikitika nyuma ya keyboard
 
Mods ndo wamemkwamisha
Kuna namna labda ameonywa ama kutishiwa huko pm.. au yawezekana jeiefu imepigwa mkwara mzito wakaona yanini kufungiwa Tena miezi 6...

Atarudi kutupa majibu, jf sidhani kama ni mahala tena pa exclusives..
 
Ila tunachekesha! Hata angetuambia sisi tungefanyaje zaidi ya kusikitika nyuma ya keyboard
ukitaka kucheka zaidi wafikirie wanaofuta hizo nyuzi na kutega mitego zisiletwe nyengine wakati wanajua kabisa wabongo wanahasir na mangungu kuliko serikali yote kwa ujumla
 
Kwa hivyo umekesha?
Sisi watu wako hapo nyumbani tumepata huduma yako kweli? πŸ˜œπŸ˜†
Jana haikua siku ya kutoa huduma.
Nilishtuka saa 8 kama Mungu tu nachungulia hajaweka kitu.
 
Jana haikua siku ya kutoa huduma.
Nilishtuka saa 8 kama Mungu tu nachungulia hajaweka kitu.
Naona uzi uishaliwa kichwa umekaaa kama 15min iviii. πŸ˜€ kaweka asubuhi hiii midamida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…