udaku mwingi sana..
tunapiga kelele sana kwanini msiende mahakamani ili mmmuwekee kinga avuliwe URAIA.Mpaka mtua mekuwa Mbunge mlikuw awapi kusema yeye siyo Raia?huku ni kushindwa kwa hoja na kuweza kushnikizwa yeye kung'oka!
Mie navyojua Jedwali La RA hakuna mtu ambaye anaweza kuruka,hasa wale wapambanaji wote walioko Juu..Ni watu wachache kama Mzee Mwanakijiji(atakuwa kwenye Jedwali lingine)!
Waandishi wengi wa Habari wa Tanzania wanasumbuliwa na Njaa tu na umasikini sababu ya elimu zao za ovyo na hawana uwezo wa kujijngea kimaendeleo!Kila siku kujipendeke za kwa wakurugenzi wa makampuni wawe wanaandika habari zao.The same the do kwa viongozi wa Serikali!
Mie sielewe,wakati mwingine nahisi inawezekana ule Mwenge wa Uhuru uliharibu akili za WAtanzania Wengi!Haiwzekani leo wazee sijui wa bukuba ,dodoma na mikoa mingine wawe na njaa na Bado wanasema Wanafurahia utawala unaolalamikiwa!
kaaz kwel kwel!....Kwa vile tuko kwenye suala la uraia, hivi RA alipofikisha umri wa miaka 18 aliomba uraia wa Tanzania? Lakini pia alikuwa Tanzania wakati huo na wapi? Kama hakukana uraia wazazi wake ni lini yeye aliupata uraia wa Tanzania? Yawezekana aliomba uraia baada ya kugombea ubunge na kushinda?
Maswali haya nimeulizwa na miye nauliza..
Tuanzie na haya.....wazazi wake ni nani na nani?.....wako wapi?....je wao waliomba uraia?....
Haiwezekani...ina maana akina Chiligati hawalifahamu hili????wazazi wake ni wa Iran na wako Iran.. na hawajawahi kuwa raia wa Tanzania; ndivyo habari zilivyo...
Haiwezekani...ina maana akina Chiligati hawalifahamu hili????
RA kwao ni pale Mwisi, Igunga. Mliowahi kupanda mabasi ya MAMLO enzi hizo mtawafahamu ndugu zake. Ileteni kwanza sheria ya URAIA wa NCHI yetu halafu ndipo tulijadili kwa kina na mwelekeo sahihi suala hili.
Waarabu na WaIran wa Tabora tunao wengi tu.

Kwa vile tuko kwenye suala la uraia, hivi RA alipofikisha umri wa miaka 18 aliomba uraia wa Tanzania? Lakini pia alikuwa Tanzania wakati huo na wapi? Kama hakukana uraia wazazi wake ni lini yeye aliupata uraia wa Tanzania? Yawezekana aliomba uraia baada ya kugombea ubunge na kushinda?
Maswali haya nimeulizwa na miye nauliza..
wazazi wake ni wa Iran na wako Iran.. na hawajawahi kuwa raia wa Tanzania; ndivyo habari zilivyo...
...baadae mtahojiwa NINYI....!
kwamba ''huko mliko'' mmeukana URAIA WENU?
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy: