Rostam Aziz,Edward Ngoyay Lowassa muogopeni Mungu!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam Aziz,Edward Ngoyay Lowassa muogopeni Mungu!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lukatony, Jul 11, 2011.

 1. lukatony

  lukatony JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  UKIANZA KUTAFAKARI KWA MAKINI HALI YA NCHI YANGU TANZANIA KUANZIA 1995-2005,HALAFU KUANZIA 2005-MPAKA SASA UTAONA KWA DHATI KABISA MATATIZO MENGI YA KIPINDI HICHI YANA MIKONO YA WATU HAWA WAWILI!ILA PAMOJA NA YOTE NADHANI HUYU MHE!BENJAMINI WILLIAM MKAPA ANAPASWA ALAUMIWE SANA KWA KUTUSABABISHIA NGUVU WALIZONAZO WATU HAWA!MKAPA HUYU BAADA YA KUCHAGULIWA PAMOJA NA UHUNI WOTE WA MTANDAO ALIJUA NA ALISHINDWA KUUSAMBARATISHA MTANDAO WAKATI UNAFANYA KAZI KATIKA KIPINDI CHAKE CHOTE CHA UTAWALA WAKE CHA KUMUANDAA MTU WAO!
  MTANDAO UKASHAMIRI NA MWISHOWE UKAFANIKIWA KUTUFIKISHA HAPA TULIPO,MTU WAO AKAWA RAIS!!!.NGOYAY AKAWA PM,ROSTAM AZIZ AKAWA MWEKA HAZINA WA CHAMA CHA MAPINDUZI-TAIFA!SINEMA IKAANZA RASMI!!
  KOSA MOJA KUBWA NA AMBALO WANAJUTA WATU HAWA,WALIDHANI SAMWEL SITTA ANGEENDELEA KUWA MTU WAO DAIMA!!UPEPO UKABADILIKA!----------------KIKUBWA SABABU WALIMTENGA,NAYE AKABADILIKA!TUKAPATA KUJUA YALIYO MENGI!
  HADITHI YA ULIMBIKIZAJI WA MALI IKAANZA,MTITIRIKO WA HAYA NI MENGI NA YANASIKITISHA SANA TENA SANA!!
  LOWASSA WEWE NI MKIRSTO,UNAMWINI MUNGU,ROSTAM WEWE NI MUISLAM UNAMWAMIN MUNGU!!MUOGOPENI MUNGU!!
  MAMILIONI YA WATANZANIA WATESEKA KWA AJILI YENU!VIONGOZ MNATUPANGIA!!!!enyi waheshimiwa muogopeni mungu!!!!!
  NB:SIHITAJI COMMENTS!!!DHAMIRA YANGU MIMI KAMA NAUMIA!!WATU WAO HAPA SIWAHITAJ!
   
 2. F

  FUSO JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Tatizo si Lowassa, Rostam na Chenge, hapo ndipo mnakosea watanzania - TATIZO NI CCM na ndiyo maana tupo katika hali hii.

  Hata ukiwaondoa hawa watatu ndugu yangu usitegemee milele kwamba CCM ya 5/2/1977 Itarudi kumjali mkulima na mfanyakazi - NEVA EVA.

  Cha msingi ni kuwaweka hawa jamaa (CCM) wawe watazamaji, then tuwape wengine majukumu ya kuongoza dola. Watanzania tukiendelea kuogopa changes basi tusahau maendeleo milele yaani ni sawa na kuweka saini kuukubali umasikini wa kitaifa milele. Wakenya hao wanatuacha nyuma.
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,745
  Trophy Points: 280
  Tatizo siyo Lowasa,Rostam wala CCM tatizo ni watanzania wanaoiunga mkono CCM. Siku watanzania wote watakapopona utaahira wa kuipenda CCM ndiyo mwanzo wa ukombozi.Inasikitisha saaana kuwa pamoja na ujambazi tunao fanyiwa na CCM bado kuna watu tena walalahoi wanaiunga mkono CCM.
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  "Emanticipate yourself from mentally slaves,,, none but ourselves can free our minds" ndo tatizo letu watz,pamoja na hali kuwa ngumu kimaisha ambayo apparent imeletwa na ccm kwa kutokuwa na mipango mikakati na kumiss use resources tulizonazo bado wakati wa uchaguzi tunaichagua ccm simply after being given kofia,ti shirt na ama khanga. U see? so ngoma iko mikononi mwetu kuibwaga ccm ktk uchaguzi ujao. Elimu ianze na watu wa vjjni kabisa tutamalizia mijini
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  Hawa watu hadi waondeke woet ..
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nasema Lowassa, Rostam Aziz na maswahiba wengine;

  mjue fika kwamba haya maneno tuyasemayo kwenu kila mara kama vile 'OGOPENI MUNGU' si ya kuchezea, si maneno ya kukebehi, si maneno ya kupuuza ....

  Watanzania tunalia sana tena kwa uchungu mkali juu ya huku mikotufikisha kama taifa tena bila hata chembe cha uzalendo moyoni!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. s

  sir echa Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania tumkumbuke Mungu,yanayotokea yote sio kwa bahati mbaya bali Mungu ameamua kutuamsha kwa stahili ya mambo haya yanayotokea..Tunatakiwa kubadilika.
   
 8. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu, watu humuogopa Mungu kama wanamtambua. Kwa matendo yao hawa hawana chochote cha kuwahusisha ma Mungu.
   
Loading...