Rostam Aziz anacheza kama pele

Rostam Aziz anacheza kama pele

Asiokuelewa ana lake Jambo!
Kifupi ni kwamba Waziri mwenye dhamana ya mambo ya Umeme + Mwanasheria wa kampuni ya umeme ya serikali wote kwa pamoja waliwahi kuwa waajiriwa kwenye kampuni ya mtu ambae anadaiana na serikali hiyohiyo juu ya mambo hayohayo ya umeme.
Patamu sana hapa,
Big-up Sulpha
 
Ulicho leta hapa ni kutharau waislam,ina maanisha waislam wamelala na wakatoliki wapo macho?
Jaribu kufafanua zaidi,
 
mkuu sulpher umeeleweka vizuri ila watu kwa sababu umetumia mfano wa kanisa wanakwepa wakidhania ni udini. Nimesoma mwanahalisi leo na nimeipenda hiyo makala. Ahsante kwa post yako
 
Hii kitu kwa sisi tunaojua angalau machache katika mikakati ya Rostam wala hatuwezi kupuuzia hili jambo! Ngwilimi akienda kweli TANESCO nitathibitisha hili kabisa pasi na shaka!
 
Sulper uko sahihi 100% ila tu baadhi ya watu hapa hawafikirii kwa umakini au hawasomi wakaelewa si unajua pia kusoma si jadi yetu ndo maana kuna mzungu alisema ukitaka kuficha hela yako kwa mtz basi usihangaike utaiweka wapi just weka kwenye kitabu watakuwa wanaangalia Cover tu wanaondoka.
 
Jamani jaribuni kumuelewa huyu jamaa katumia RC kama mfano tu yaani kutokana na jinsi walivyo na akili. Na kamtumia PELE kutokana na umahiri wake katika football. Na maana yake katika kutafuta pesa huyo bwana Rostam mjanja kama hao jamaa. Ebu angalia hapo huyo mwanasheria tanesco kaondolewa kaletwa voda kama kweli

Kamtumia? Mwenyewe anakosa chakuandika anakopi magazeti ana akili fupi na nyembamba
 
Non sence,maneno uchwara meng kuliko mifano ya kweli

Wewe pimbi....read between the line!!! Kwanini watanzania tunakuwa wavivu wa kufikiri hata kusoma pia??? Kwani aliyoyaeleza Salphadoxine ni ya uongo!! Fanyia kwanza utafiti acha umbumbu wee.....
 
Tumemlea wenyewe mpaka hapo alipo na atatucost huyu jamaa big time
 
Back
Top Bottom