hehe, CHADEMA changamkieni jimbo hilo. Hongera sana Rostam kwa maamuzi hayo. Mimi nilidhani anarudisha na kadi ili abaki bila chama. Sasa kama anasema CCM inaendesha siasa uchwara anabakije tena ndani ya chama chenye siasa uchwara?
Kama ni kweli leo natwanga lager kwa wingi gamba moja kweshineni.Angejivua uraia wa Tanzania hakika leo ingefaa kuwa siku ya mapumziko.
Yaan tokea asubihi Mzee mwanakijiji yuko hapa, leo hujalala
maana mida ya kucomment ni usiku
There are currently 237 users browsing this thread. (74 members and 163 guests)
Tetesi hii mbona imezidi humu jamvini?? sasa tunataka habari ya uhakika, mara yuko igunga-tabora, mara kaingia kwenye ofisi za habari corporation. Ofisi hizo ziko tabota au Dar es Salaam!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
akijuvua uraia tanzania c wananchi watakufa njaa
Maana tetesi zinahabarisha kuwa mara kadhaa hata salary zA WATUMISHI ANAIKOPESHA GOVERNMENT!
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]Hon.Mulugo Augustino Philipo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Songwe Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Questions(0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Supplementary Questions (0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Contributions (0)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]HIVI DATA ZA HUYU RA,JUU YA MICHANGO YAKE BUNGENI ZIKOJE? SIO KM HAPO JUU KWELI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ahahahaah!! Labda ni mkoa mpya.Hapo penye red ni mji gani huo? au nchi imemegwa bila rai kujua?
Jimbo atamwachia Bashe. Atamfanyia kampeni kali hata kama anafilisika lakini uwepo kwake katika medani za siasa anakabidhiwa Bashe.
Yaan tokea asubihi Mzee mwanakijiji yuko hapa, leo hujalala
maana mida ya kucomment ni usiku
Nimepitia facebook sijaiona hii hotuba.
thread imeanza sa10.39am, mzee mwanakijiji akivuta saaaana mwisho saa mbili asubuhi then anarudi usiku