Rostam Aziz aachia ngazi CCM


Ben, ina maana Magamba huwajui tabia zao? .... hawana aibu wale, wewe subiri utamsikia huyo nape na viroja vyake.
 
Eti ni kweli huyu mjamaa alichukuwa ile hela ya Kagoda kutoka matawi ya benki ya CRDB usiku kupitia mlango wa nyuma kwa cash ndani ya maboksi?
 
Watu hamsomi habari mkaimaliza, ktk hotuba yake anataja kuachia hata ubunge... (if this post is authentic).... so it is not logical to replay to the post or comment anything if at all you havent read it in full........ great thinkers? please......
 

I doubt whether they will respond to this! Ni kweli wana gutter politics kwani kakosea nini? Leo unataka umtetee Nape na Chiligati?? Kuondoka kwa huyu jamaa ndani ya chama ni pigo kubwa kwani ndiye aliyeratibu kuingia kwa Kikwete ikulu. Nape hana jipya na hawezi kukisaidia chama zaidi ya kukibomoa. Kikwete naye angejiuzulu ili tuanze upya maana CCM is rotten!
 
Reactions: DSN
Nilitamani sana kusoma ujumbe unaosema kuwa tayari Rostam Aziz amejivua gamba. Taarifa zote zinasema kuwa anatarajia kuita Press conference kutangaza kujivua gamba. Ebu tuondoeni katika hii hali. Kama kuna mtu mwenye taarifa inayothibitisha kuwa tayari kasha vua gamba na tuipate!
 
There are currently 2144 users browsing this thread. (357 members and 1787 guests)

Safi sana. Nimeshapigia na rafiki zangu wapite hapa wadondoshe maoni yao. Nina muda mrefu sijaingia humu ila baada ya kupata habari njema hizi kama za mama ambaye amesubiri miaka bila kujaliwa mtoto halafu akapata kama ilivyokuwa kwa Sarah basi na leo nimepata furaha isiyo kifani.
 
one down, two to go!
Mkuu Who is Down...???
One Has Escaped Scott Free (Sasa anaweza kuenjoy matunda yake ya Ufisadi bila kushikwa shati, wala hatafunguliwa mashtaka)
na CCM will take Credit kwamba Chama Chao Kinasafisha Uchafu

Its all Changa la Macho; na Sisi watanzania tunaendelea kuibiwa bila mtu yoyote kuwa punished...
Hivi hata hao wawili wakijiuzulu ni faida ipi atakayopata Mtanzania (keeping in mind they can continue to pull strings even when out of politics)
 
Fisadi Papa No. One is out! Mzee wetu Mengi please can you comment? You were right of course!
 
Guys

Imethibitishwa already, Rostam Aziz kashaachia ngazi zote, including Unbunge, Ujumbe wa Halmashauri Kuu etc na kasma atabaki kuwa mwanachama muadilifu wa CCM. Nimemsikia live on Channel Ten today. Haya sasa kama RA ndiye tatizo CCM then tuione CCM mpya baada ya hapo.

If that is the case tunawataka na hao mapacha wenzake nao wawajibike.


Nawasilisha.
 
Ni kweli kaachia vyeo vyote viwili U-NEC na Ubunge. Nilikuwa namshangaa anatafuta nini kwenye siasa kijana mjasiriamali kama yule. Katumiwa sana na kina Chenge, Kikwete, Balali, Mkapa na wengineo. Nasikia walimwita wakampa pole na kumhakikishia ulinzi wa mali na biashara zake.
 
so R.A kaachia ngazi 2msubili aliyewanadi nae asepe. Bt siamin km EL na EC wataamua kuliacha jengo la posho
 
duuh,mi nadhan hata jamaa akiachia ngazi ana viongozi wengi sana wanaomwakilisha mmoja wapo na alie wazi ni ngelejja,na yy aachie ngazi kama vp
 
Kwa maelezo hayo, tunashukuru sana kwani tumekusikiliza na tumekuelewa.

Ahsante sana.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…