Rostam awaparamia CHADEMA

Ni kweli huyu jamaa ni mwanasiasa makini katika kupanga safu ya uongozi wa nchi ili atuibie vizuri. Lakini mwisho wa mijizi yote unakaribia. Kutakuwa na kilio na kusaga meno.
 
The day is coming haya majizi yatakimbia yenyewe km si kukiona cha moto. Enough is enough!!
 
kheee huyu RA ana balaa ..yaani anajiita mwanasiasa makini??? hahaa kweli kazi ipo
 
Msijiunguze bure kumbwekea Rostam. Yeye ni mtumia fursa tu. Kaja kakuta viongozi wa nchi waroho, majuha na malimbukeni wasio na maono (visheni) ya maendeleo ya kweli; wanaotafuta utajiri uchwara wa kuwakoga waswahili wenzao, yeye akawapatia namna ya kuiibia/kuihujumu nchi yao bila kustukiwa huku naye akiwazungushia kamba ambayo hivi sasa hawana au hawajui namna ya kuifungua. Ndio maana yeye anakenua tu huku Mkwere & co. wakijiumauma tu. Kule kutamka jina lake tu jasho linawatoka. Hata baadhi ya jamaa wa upinzani wakimsikia wanapata mchecheto. Cha kujiuliza ni kwa kiwango gani viongozi wetu wamekuwa "compromised" na Rostam? Isije ikawa nchi imeshauzwa kwa kiasi kikubwa!
 
Unajua huyu bwana hajitambui, angekuwa mwanasiasa makini angejitambua na kutambua amesimama wapi kwa sasa..(alama za nyakati zipo wazi kwake) ukweli ni kwamba hakuna mtanzania hata mmoja anaweza kudanganywa na ngonjera zake, labda hao wa igunga ambao wametoa muda na nafasi zao kumsikiliza japo siamini kama na wao wanadanganyika..
 
yaani nina hasira nae huyu jamaa,..acha tu,inabidi akifa tumchimbie bonge la shimo,isitokee bahati mbaya akafufuka.
 
Watalam wa maswala ya uchumi wa IMF wametoa taarifa ya uchumi wa Tanzania kushuka kunakotokana na ukosefu wa nishati hasa ya umeme ambako bila dowans kututapeli maana yake lingepatiwa ufumbuzi wa kudumu na kwa hilo anajifanya haoni

Kama haoni siku ataona hata kama siku moja atakufa basi huko aliko ataona kupitia kwa watoto au wajukuu wake watakaokuwa hai....we always wait.
 
hutapata uzushi wa mwakyembe, utapata upumbaf wa al annur
 
Imeshakuwa hii. Yaani sasa tunawatetea mafisadi simply because ni wenzetu katika dini.
 
sisomagi hilo anur
 
Imeshakuwa hii. Yaani sasa tunawatetea mafisadi simply because ni wenzetu katika dini.

Si dini si chochote ni ukosefu wa ubambanuzi na ushabiki usio na tija
 

ulitegemea gazeti kama hilo liandike nini kuhusu mkristo?
 

Kama kuna gazeti linaloshabikia udini basi hili ni nambari wani. Na halijawahi kupata hata kemeo achilia mbali kufungiwa. Udini huu, hatari tupu.
 
ungeweka habari nzima tuchuje wenyewe pumba na mchele.wengine hatuna access na hilo gazeti
 
Wala huwa sisomi magazeti ya wasokuwa na akili kama hao! Hivi hao waandishi wamesomea vyuo kamili au kulekule ........ras?
 
Kama JK angekuwa SERIOUS kuhusu UDINI angeanzia na magazeti ya Al Nuur kuyafungia! Lakini kwa sababu ni "wenzao" basi ndio hivyo wanakemewa wale ambao hawajawahi (yaani CDM) kutamka chochote kuhusu dini ya mtu mwingine!
 
al nnur wanamtetea muislamu mwenzao.si jambo la ajabu kwa gazeti hili kwani siku zote lashambulia wakristo la halijawahi pewa karipio au kufungiwa.
si gazeti la kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…