Jamani watanzania walio makini na walio criaz na ukombozi wa nchi hii,kuna jambo tunasahau,miaka ya 60 tulipigana kukomboa nchi ipate uhuru,sasa tunahaja ya kuingia vitani tena kutafuta haki ya kweli,mzigo wa umaskini na unyonyaji uliokithiri.
Mwanzoni watumwa walibebeshwa pembe za ndovu na waarabu,leo tunahakikishiwa na mfanya biashara ya utumwa wa miaaka(muirani r.a) kutubebesha si pembe za ndovu kama zamani bali umaskini yeye akatajirike.
Ewe mtanzania badilika chukua hatua tuingie vitani tuikomboe nchi yetu peapleeeeeeeeeeeeeeeeees!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!