Alikuwa wapi wakati nini kinatokea?Kwani Hosea alikuwa wapi?
keshachuma hela za kutosha
wajinga ndio waliwao
mnahangaika na wahindi hamjui wanalotaka
mitakataka
Kwani Hosea alikuwa wapi?
Kwani Hosea alikuwa wapi?
Ni pigo kubwa kwa Saidi Kubenea sijui sasa atauza habari
Sasa ndio atakuwa na muda mzuri wa kuandika jinsi CUF ilivyoolewa na CCM na mibahasha ya Jairo.Ni pigo kubwa kwa Saidi Kubenea sijui sasa atauza habari
Magamba bwana, kaaazi kweli kweli, hayana uwezo wa kufikiri "nje ya boksi!"Ni pigo kubwa kwa Saidi Kubenea sijui sasa atauza habari