COMPLICATOR2011
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 253
- 35
Msitake nipigwe bann ya pili ndani ya siku moja, niko naombolezea id yangu imepigwa bann ya mwezi mzima leo asbh kwenye thread ya dc wa igunga.

We Ni CD SIKU IZI?

Mbona hukusema kama wauza sasa?

Unatia sana aibu
Nape atajibu kuanzia saa 6 usiku, bahada ya wafanyakazi wake kuchoka.Mkuu wewe ndiye Nape? Anayeweza kuthibitisha ni Nape au Rostam ila kwa Sababu Nape ni Member humu atakuja Kuthibitisha au kukanusha

acha uongo **** wewe...wu z rostam ad ampge ban nape?.Ebu jadilini ya kwenu,ya kutaka kumbaka DC We2...mtafutien demu mbunge wenu atoe MWANI..co kuzusha upuuz upuuz