Rosemary Mwakitwange ampinga Sophia Simba

Sofia simba anatakiwa afanyiwe psychotherapy.

Sidhani kama Sophia Simba anahitaji Psychotherapy, huyo ndivyo alivyo.

Anayehitaji zaidi Psychotherapy ni yule aliyemweka kwenye hiyo nafasi huku akijua huyo ni mama wa kitchen party. Kama mtu kushindwa kufanya usahili mbele ya wabunge wenzako, what else can you do than kasukulling?
 
Sophia Simba huwa simwelewi.
Katika matukio mengi akiwa anaongea huwezi mtofautisha na mwanamama (baadhi) wa huku uswazi kwetu ambaye elimu yake kuuubwa ni std 7 alafu hana exposure.

Juma lililopita alikuwa anahojiwa na BBC kuhusu siku ya wanawake....... AIBU TUPU!!!!!!

Hivi hao wanaomwajiri wanatumia kigezo gani??????????????
Au mimi nakosea labda utendaji ni mzuri kuliko kuelezea jambo??????

Nijulisheni wanaJF mnaomfahamu zaidi ili nijiridhishe au nibadili mtazamo wangu kwake kuwa ni "Kilaza" anayebebwa kwa jambo ambalo anafanya au aliwahi kufanya.

Nawasilisha

Sophia ni kiazi kabisa.Kwa wale walio wahi kuiona CV yake watagundua kwamba ni mtu wa kubebwa tu.CV yake haina kitu.

Yuko hapo alipo kwa sababu ya ushoga na Salma.
 
NILIPOSIKIA FIRST TIME KWAMBA SIMBA NI LLB HOLDER NILISTAAJABU SANA.SASA NAAMIN KWAMBA THERE IS A ROOM TO HAVE AN IGNORANT PERSON WHO IS EDUCATED:lol:
 
Kwenye kipindi hicho cha EATV Walikuwepo warembo watano baadhi yao wakiwa madent wa vyuo vikuu waliunga mkono maandamano kwa sauti moja.
 
Back
Top Bottom