ROSE MUHANDO ULIWAZA NINI KUTUNGA HUU WIMBO

We jamaaa umejua kunichekesha. Kuwa nibebe imehamia uwanjani
JamiiForums1669583092.jpg
 
Point tano zilizobaki sio nyingi sana... tunakuja watani kuweni makini
 
Juzi tuta la mchongo leo goli la offside, hapo hatuja zungumzia red cards karibia 10 kesho hatujui itakuwaje.

Ila nimekubali kuchukua ubingwa wa Tanzania bara kusajili peke yake haitoshi lazima uwe na kamati ya miamala na ndio maana wenzetu walikuwa wanatengenezewa viporo ili wavinunue vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom