Huyu si tuliambiwa amekuwa TEJA siku hizi hadi ikapelekea akabakwa. Duh!! CCM imekuwa kimbilio la MATEJA bado na Ray C, Chid Benz na yule Nando wa Big Brother tutasikia wanajiunga na CCM.
Na usipokuwa na kadi yao tegemea kusumbuliwa sana na takukuru, na kesi kuwa sio raia, hii ndo tz yetu iliyobarikiw maajabu ya kila Namna, bt all in all ukitenda jema litazaa tuu, na ukitenda baya pia litazaa tuu, it's a matter of time.
View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
Leo ni Rose na wengine pia wamo na wanataka kupata viti maalumu kupitia chama hiki.Tuseme kila star Wa nchi hii ni mwanachama Wa hiki chama.Wachache wameonesha ni wapinzani,hata hivyo hawana msimamo wanatangatanga tu
Baada ya kuugua muda mrefu na kuona biashara ya injili hailipi tena.
Yuko sawa amechanga vema karata zake kiukabili ukata uliokuwa umepiga kambi kwake.
View attachment 653617 Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama hicho unaofanyika Mjini Dodoma.
Nyie waimba injili ni nani aliyewaloga hata mkatamani kuwa wanasiasa? Mbona mnakimbia huduma Mungu aliyowapa? Sasa mtawezaje kumuimbia Mungu huku mnaimba na siasa? Mbona mnawakwaza wasikilizaji wa nyimbo zenu za Injili? Kwa hiyo mmechagua kuitumukia siasa? Mmebadilika kuwa wanasiasa? Injili mmemuachia nani?