Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
na hii inamaanisha kuwa wananchi wanapenda sana udakuMagazeti ya udaku yanauza sana kuliko yale yasiyo ya udaku.
Haya yana wateja sana mitaani.
na hii inamaanisha kuwa wananchi wanapenda sana udakuMagazeti ya udaku yanauza sana kuliko yale yasiyo ya udaku.
Haya yana wateja sana mitaani.
Nadhani tufikia mahali tuangalie ile sheria ya habari/magazeti vinginevyo huu mwanya wa magazeti ya udaku kuandika chochote tu unaweza kuigharimu sana jamii ya watanzania
Udaku Plus + tatizo haya magazeti huwa yanatoa habari za ajabu ajabu tu ...kichwa cha habari hakinivutii kuendelea kusoma ....
Global Publishers= Publishers of unjustified/unresearched and non leaned tabloid news!!"Ajali ya Rose Mhando ni mikosi, uchuro na mkono wa shetani
ROSE MUHANDO: Mimi sina skendo
ROSE MUHANDO AIPASUA NDOA YA ALEX MSAMA
CHRISTINE SHUSHO AMFUNIKA ROSE MUHANDO
Mimi na Richie kaka na dada
http://www.globalpublisherstz.com/2009/11/04/ajali_ya_rose_mhando_ni_mikosi_uchuro_na_mkono_wa_shetani.html
soma mwaya, soma hata kama hupendi fast lad ukitaka kusaidia, kuona na baadaye kuwa mshauri wa ushauri wa ushauri (ushauri nasaha) kusoma kila takataka wakati mwingine muhimu nona kujihisi kuchefuka, lakini ukiona duhh imezidi kimbilia sinki achia kisha unarejea unasoma halafu unadroo konlulusheni na kusema pa,mbafu zao hawana adabu wala hawajui vibaya na mishipa ya noma imewapasuka ahh mungu awarehemu hapana mungu atupe subira na kutuongoza kwake aminaUdaku Plus + tatizo haya magazeti huwa yanatoa habari za ajabu ajabu tu ...kichwa cha habari hakinivutii kuendelea kusoma ....
Jana nilisema yasemwayo yapo, kama hayapo tuyasubili yanakuja, anayeandika anakuwa na ushahidi tosha, pale anakwenda kuthibitisha tu kuwa kaongea nao walengwa, kama hakuna ukweli ni kwa nini wasiende mahakamani kumshitaki mwandishi?Tena ukweli wamewakosea adabu sana hawa wanandoa ingekuwa vinginevyo huyu mwandishi alitakiwa kushitakiwa. maana wenye ndoa wamesha sema hakuna tatizo bado yeye analazimisha, kama hana pesa na anatafuta kwa njia hiyo basi hiyo pesa wala haina faida kamwe tena ashindwe na kulegea.